ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,620
- 59,971
Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo tukubali maadili wametupita
Tuje kwenye ujenzi ona bila ya shule ya uhandisi wala kuwa na vifaa vya kisasa, ndege wanajenga viota vyao imara kwa kutumia nyasi, vijiti, matope na hata nyuzi ndogo. Kila ndege ana style zake za kipekee.sema tu kwa kuwa wadogo na hawajafundishwa chochote tunachukulia simple
Kwenye kulea sasa wazazi wa ndege hutumia muda mwingi kutafuta chakula, kulinda mayai na kuwafundisha watoto wao kuruka na kujitegemea. Wengine hubadilishana zamu ya kuatamia mayai kwa wiki kadhaa ila binadam anakuchoka hata kama kakuzaa akiamua anakuacha utajua mwenyewe.
Ndani ya viota kuna ishu ya usafi ndege wengi huondoa kinyesi na taka kwenye viota vyao ili kuzuia magonjwa na kuvutia maadui. Hii ni tabia ya kushangaza sana kwa viumbe wadogo.ila Luna baadhi ya binadam anaishi na makopo ya mkono hata week ndani mwaka..
Kuna wale ndege wahamiaji husafiri maelfu ya kilomita Bara mpaka Bada bila GPS na bado hurudi sehemu zilezile kila mwaka. Inasemekana wanatumia jua, nyota na uga wa sumaku wa dunia kujielekeza.
Kwenye memory sawa labda tunawapita ila kum uka baadhi ya kunguru wanaweza kutumia zana, kukumbuka sura za watu waliowadhuru na hata kufundishana maarifa ndani ya kundi.
Kuna wale penguan dume linaweza kusimama kwa miezi kadhaa likilinda yai katika baridi kali huku likisubiri jike lirudi kutoka kutafuta chakula ila binadam anaweza hata kumkataa mwanae.
Sema na wenyewe sio wakamilifu pia. Wana tabia za kutuvutia kama uaminifu, ushirikiano na malezi bora ya watoto, lakini pia wana tabia za hivyo kama vita, udanganyifu kama cuckoo mjinga sana yule me ana nikera anavyoachia ndege wamlelee mtoto wake na wakati mwingine ukatili kama kuna ndege dah wanaua watoto wadhaifu so ktk ulimwengu wa wanyama kuna mchanganyiko wa sifa nzuri na kasoro kama ilivyo kwa binadamu I mwisho wa siku ukituliza kichwa kabisa ndege wanapita akili baadhi ya binadamu na ndo maana sidhani kama kuna ndege vichaa ila kwetu tuna mirembe yetu kumbuka..