passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.
Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.
Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.