ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shutuma zisizo na ukweli zawezapelekea usaliti

    Wananzengo mnaendeleaje poleni na haya yanayoendelea. Niende moja kwa moja kwenye mada.Jamani nadhani mnafahamu swala la wivu wa mapenzi lilivyojanga kwa jamii hasa linapokuja swala la kushuku kwamba unasalitiwa huku ukiwa huna uhakika au uthibitisho wa tuhuma hizo.Tusiende mbali kuna jamaa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani. Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea? Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tunamchukulia poa lakini ukweli ametushika pabaya, tena pabaya sana

    “A cornered animal is the most dangerous.” Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale Nchimbi alipomchana ukweli Rais Samia.

    Ukweli huu unauma.👇
  7. Melancholic

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli

    Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au kusimama moyo hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka, anakupa kisa cha ajabu cha pale alipokuwa kwa hizo dakika chache! Kitendo hiki huitwa Near-Death...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  9. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Alichosema Ali B ni ukweli kwa Dunia ya sasa

    Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu. Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako, ukiwa na pesa...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

    Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
  11. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hapa ukweli uko wapi? Mbona maneno haya ni ya kinabii.

    Wasalaam. Siku zote katika bara letu Africa watu wenye akili kubwa na maono huchukuliwa ni wasaliti, why?
  12. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF imemfungia Jamal Bakhressa lakini hawajaufungia ukweli aliousema.

    Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na kuleta Football Video Support (FVS) msimu huu. Ni kweli waamuzi ni mali ya TFF na bodi ya ligi ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa? Crazy Kenner mseto wa comedy na mada za kijamii

    Mchekeshaji wa Kenya, Crazy Kenna, anaendelea kupata umaarufu kote barani Afrika kutokana na maudhui yanayoakisi maisha na uzoefu wa Waafrika. Ameteuliwa kuwania Tuzo za AFRIMMA za mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa na ushawishi katika nyanja ya burudani ya kidijitali barani Afrika.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

    Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru haijawahi tokea.
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, mpaka 2030 hatutakuwa na katiba mpya

    Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka? Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana. Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/= Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna ukweli mwingine hakuna anayepotoshwa

    CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA. Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji. Uongo hupingwa kwa...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
Back
Top Bottom