Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,615
- 5,766
Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana