CHADEMA wameanza kusema ukweli wa Moyo

CHADEMA wameanza kusema ukweli wa Moyo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
544
Reaction score
515

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.

RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo watanzania wakaanza kuwastukia.

REPOTI ikasema tena kuwa kulikuwa na kundi la watu/VIJANA zaidi ya 500 Porini wakipatiwa mafunzo maalum ya jinsi ya kufanya vurugu.

Mzee Warioba na wanaharakati wenzake(Generali Ulimwengu) wakatengeneza "mahojiano ya mchongo",kukataa kwamba hakukuwa na kundi hilo la watu zaidi ya 500 mita kumi kutoka kilipo kituo cha Polisi.

Kachero wa Kivita wa China Tzu anasema "always appear far while your near and vice versa/ Opposite.."Hii ni kanuni ya Deception and trickery.

Sikushangaa adui kufanya "Operations" zake karibu na kituo cha Polisi,Ndio majambozi hayo.

Msikilize Ndugu John Heche,Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa Mji wa Katoro, Geita ndio utajua kwamba No One alipanga vurugu za Oct 29 zaidi ya yeye na wenzake.

Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.

Hizi kauli za John Heche ni ngumu mno kuvumilika.Yaani anatishia tena kwamba Wanaweza kurudia ya Oct 29 kama Msajili atafanya lolote juu ya Chama chao.
 
View attachment 3589853

Nyumbu wanamshangilia watakapopigwa za kichwa then wataanza kulalamika. Heche anawadanganya yeye hata hiyo Mo29 hakutoka alijifungia ndani na hakusema chochote ameanza kusema April 2026.
 
One percent against 99 percent.
Nyie pigeni tarumbeta tu, lakini muda unakaribia na mtasaga meno!

Mngekua kidogo mnaonyesha remorse, mtubu vile vifo vya watu zaidi ya 10,000

Hamta kwepa
 
Hiyo 99% umeipata wapi? Au ni hesabu za kinyumbu mkuu?
 
IMG-20260217-WA0028.jpg
 
One percent against 99 percent.
Nyie pigeni tarumbeta tu, lakini muda unakaribia na mtasaga meno!

Mngekua kidogo mnaonyesha remorse, mtubu vile vifo vya watu zaidi ya 10,000

Hamta kwepa
Vipi mbona hawaji kumsalimia?
 
Nyumbu wanamshangilia watakapopigwa za kichwa then wataanza kulalamika. Heche anawadanganya yeye hata hiyo Mo29 hakutoka alijifungia ndani na hakusema chochote ameanza kusema April 2026.
Unasahahu kuwa Heche wakati ule alikuwa kashikwa na kuwekwa ndani na kupelekwa mikoani? Hizo buku saba zinawafanya mpoteze hata kumbukumbu zenu.
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.

RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo watanzania wakaanza kuwastukia.

REPOTI ikasema tena kuwa kulikuwa na kundi la watu/VIJANA zaidi ya 500 Porini wakipatiwa mafunzo maalum ya jinsi ya kufanya vurugu.

Mzee Warioba na wanaharakati wenzake(Generali Ulimwengu) wakatengeneza "mahojiano ya mchongo",kukataa kwamba hakukuwa na kundi hilo la watu zaidi ya 500 mita kumi kutoka kilipo kituo cha Polisi.

Kachero wa Kivita wa China Tzu anasema "always appear far while your near and vice versa/ Opposite.."Hii ni kanuni ya Deception and trickery.

Sikushangaa adui kufanya "Operations" zake karibu na kituo cha Polisi,Ndio majambozi hayo.

Msikilize Ndugu John Heche,Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa Mji wa Katoro, Geita ndio utajua kwamba No One alipanga vurugu za Oct 29 zaidi ya yeye na wenzake.

Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.

Hizi kauli za John Heche ni ngumu mno kuvumilika.Yaani anatishia tena kwamba Wanaweza kurudia ya Oct 29 kama Msajili atafanya lolote juu ya Chama chao.
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Nyumbu wanamshangilia watakapopigwa za kichwa then wataanza kulalamika. Heche anawadanganya yeye hata hiyo Mo29 hakutoka alijifungia ndani na hakusema chochote ameanza kusema April 2026.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.

RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo watanzania wakaanza kuwastukia.

REPOTI ikasema tena kuwa kulikuwa na kundi la watu/VIJANA zaidi ya 500 Porini wakipatiwa mafunzo maalum ya jinsi ya kufanya vurugu.

Mzee Warioba na wanaharakati wenzake(Generali Ulimwengu) wakatengeneza "mahojiano ya mchongo",kukataa kwamba hakukuwa na kundi hilo la watu zaidi ya 500 mita kumi kutoka kilipo kituo cha Polisi.

Kachero wa Kivita wa China Tzu anasema "always appear far while your near and vice versa/ Opposite.."Hii ni kanuni ya Deception and trickery.

Sikushangaa adui kufanya "Operations" zake karibu na kituo cha Polisi,Ndio majambozi hayo.

Msikilize Ndugu John Heche,Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa Mji wa Katoro, Geita ndio utajua kwamba No One alipanga vurugu za Oct 29 zaidi ya yeye na wenzake.

Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.

Hizi kauli za John Heche ni ngumu mno kuvumilika.Yaani anatishia tena kwamba Wanaweza kurudia ya Oct 29 kama Msajili atafanya lolote juu ya Chama chao.
Kumwagiwa manii sehemu ya haja kubwa kunasababisha madhara makubwa sana kisaikolojia na hatimaye kuharibu ubongo na mfumo mzima wa kufikiri na kufanya maamuzi achilia mbali madhara ya kimwili yanayopelekea kuharibika kwa sehemu hiyo. Tendo lili akifanyiwa mtu wa jinsi yoyote awe "ke" au "me" kamwe akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja. Na ikiwa kwa "me" hali huwa mbaya zaidi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tafiti za kitabibu mtu anayefanyiwa hayo anatakiwa aanze kujitibu mwenyewe kwa kuacha kufanyiwa hivyo ili kuruhusu dawa za kitabibu zifanye kazi. Hivyo ni ukweli kwamba tatizo hilo hutibika japo huchukua muda mrefu kupona.

NB: Maelezo haya ni ushauri wa kitabibu hivyo yazingatiwe si porojo za kisiasa
 
Alikuwa ameshaachiwa wewe nyumbu. Wakati wa uchaguzi alikuwa huru.

The guy is violent and not strategic
 
Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.
nakubariana na wewe kabisa kwa sehemu.lakini hii slogan ilianza kama nakumbuka chadema ilipobadili uogozi since february 2025.na mpaka TL anakamatwa chanza ilikuwa slogan hii.ndani yake tuliona kuna uhaini.

sisi kama viongozi tulifanya ni kuhakikisha ya 29 hayatokei? tulijifanya viziwi na vipofu kana kwamba tuko dunia ya 1977. Genz Z ni kizazi chenye akili.siyo kile kizazi mtoto wa miaka miaka 10 anakuuliza eti mama huyu mtoto mchanga umempata wapi unamjibu eti nimetoka sokoni kumnunua naye kwa akilizake anakubari🙂🙂🙂🙂.kwa nyakati hizi mtoto wa miaka 3 anajua mtoto anapatikaneje.

isipokuwa kama kweli ni chadema ilihamasisha vulugu zile ( maana ile ilikuwa siyo maandamano ya kuzuia uchaguzi bali vurugu kwa sababu unapoandamana sharti ubebe bango na utuambia mnaelekea wapi na mnaenda kumuona nani kueleza kero zenu ) waliwafanyia watanzania ubaya sana.huwezi kiuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi .

Agalia hapa chini taratibu za kuandamana kwa amani.

MAMBO 10 YA KUZINGATIA WAKATI WA MAANDAMANO.
Leo ni siku ya mwisho ya maandalizi ya maandamano ya amani jijini Dar es Salaam.
1.Andaa viatu vyako vyepesi kwa mfano raba na epuka aina ya viatu vya mchuchumio au moka.
2.Hakikisha nguo zako ni nyepesi kwa mfano Suruali na T shirt epuka kuvaa vazi zito au nguo nyingi mwilini.
3.Jitahidi uwe japo na chupa ya maji mikononi yatakusaidia Juani
au beba soda aina ya fanta au mirinda kukuongezea nguvu
4.Andaa bango lako lenye Ujumbe maalum wa kufikisha kwa Watawala au beba Kipeperushi au bendera inayoendana na maandamano
5.kwa sababu ya matembezi ya umbali mrefu epuka kubeba mzigo wa aina yoyote kama vile pochi na vitu vinginevyo.
6.kwa sababu ya msongamano mkubwa wa watu,epuka kuvaa vitu vya thamani kama cheni,hereni na kutembea na kiasi kikubwa cha pesa mfukoni.
(simu yako usiache nyumbani ni muhimu sana)
7.Epuka kutumia nguvu kubwa wakati wa maandamano kama vile kukimbia au kurukaruka wakati wa maandamano.
8.Muda wote wa maandamano sikiliza maelekezo ya Viongozi au waratibu wa maandamano kuepuka ajali au kulinda usalama wa watumiaji wengine wa barabara.
Ukiona mtu anatenda uhalifu wakati wa maandamano,mripoti kwa Viongozi haraka sana.(katika msafara wa Mamba kenge hawakosekani)

9.Ukichoka Kutembea au ukihisi dalili ya kuishiwa nguvu usikae kimya waambie Viongozi au waratibu wa maandamano watakupa njia mbadala wa kupumzika katika magari maalum yanayotufuata nyuma ya maandamano.
10.Baada ya Kufika mwisho wa maandamano usiondoke kimya kimya,
wataarifu Viongozi au watu uliokuwa nao kuwa umefika salama na unarudi nyumbani kwako (kuhakikisha wote tunamliza salama)
Imeandaliwa Na
Boniface Jacob
Mwandamanaji mzoefu

Sasa angalia namba 4 na namba nane.kumbe ili iwe maandamano ya amani inatakiwa kuwe na kiongozi wa maandamano na waandamanaji wawe na bango la ujumbe maalum au malalamiko maalum.

maandamano ya vurugu hayana bango,hayana kiongozi ,ni kufanya uharifu na hakuna atayewajibika.ndicho kilichotokea oktoba 29.nani awezaye kujitokeza hadharani aseme kuwa ndiye alikuwa kiongozi wa maandamano ya kuzuia uchaguzi?waandamanaji walipata kibari wapi cha kuandamani?

kwa leo niishie hapa
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.

RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo watanzania wakaanza kuwastukia.

REPOTI ikasema tena kuwa kulikuwa na kundi la watu/VIJANA zaidi ya 500 Porini wakipatiwa mafunzo maalum ya jinsi ya kufanya vurugu.

Mzee Warioba na wanaharakati wenzake(Generali Ulimwengu) wakatengeneza "mahojiano ya mchongo",kukataa kwamba hakukuwa na kundi hilo la watu zaidi ya 500 mita kumi kutoka kilipo kituo cha Polisi.

Kachero wa Kivita wa China Tzu anasema "always appear far while your near and vice versa/ Opposite.."Hii ni kanuni ya Deception and trickery.

Sikushangaa adui kufanya "Operations" zake karibu na kituo cha Polisi,Ndio majambozi hayo.

Msikilize Ndugu John Heche,Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa Mji wa Katoro, Geita ndio utajua kwamba No One alipanga vurugu za Oct 29 zaidi ya yeye na wenzake.

Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.

Hizi kauli za John Heche ni ngumu mno kuvumilika.Yaani anatishia tena kwamba Wanaweza kurudia ya Oct 29 kama Msajili atafanya lolote juu ya Chama chao.
Utter nonsense!
 
Kumwagiwa manii sehemu ya haja kubwa kunasababisha madhara makubwa sana kisaikolojia na hatimaye kuharibu ubongo na mfumo mzima wa kufikiri na kufanya maamuzi achilia mbali madhara ya kimwili yanayopelekea kuharibika kwa sehemu hiyo. Tendo lili akifanyiwa mtu wa jinsi yoyote awe "ke" au "me" kamwe akili haiwezi kukaa sawa hata siku moja. Na ikiwa kwa "me" hali huwa mbaya zaidi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa tafiti za kitabibu mtu anayefanyiwa hayo anatakiwa aanze kujitibu mwenyewe kwa kuacha kufanyiwa hivyo ili kuruhusu dawa za kitabibu zifanye kazi. Hivyo ni ukweli kwamba tatizo hilo hutibika japo huchukua muda mrefu kupona.

NB: Maelezo haya ni ushauri wa kitabibu hivyo yazingatiwe si porojo za kisiasa
Asshole!
 
Back
Top Bottom