ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; huu udongo wa Wasira na Warioba sio wa Dunia hii!!

    Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa akili......nikifika 60 sijui kama nitamkumbuka hata jina. Nikija kwa Wasira, huyu mzee ndo ananichanganya...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Je sayansi imeweza kuelezea kila kitu au hata yenyewe ina limitations zake? haswa kwa dunia ya kiroho na imani ni ukweli upi upo nyuma yake

    KAribuni
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Rais Samia kuwa na likizo ya siku 90 si ya kweli

    Ipuuzeni taarifa hii ya uzushi iliyotengenezwa na wahalifu. Tunawasisitiza Watanzania kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ikiwemo tovuti ya Idara ya Habari-MAELEZO(www.maelezo.go.tz) na akaunti za Idara ya Habari-MAELEZO kwenye mitandao ya kijamii (Msemaji Mkuu wa Serikali...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Wazee wameanza kuogopa kuongea, mambo yameanza kubadilika

    Salum Mwalimu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAUMMA, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema kuna changamoto ya kuchagua ukweli jambo linaowafanya Wazee kuogopa kuzungumza huku...
  6. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli Nyuma ya Teknolojia za Kisasa

    Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia kila teknolojia mpya inapokuja na uwezo ambao watu hawajawahi kuuona. Internet, radio, upigaji picha...
  7. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati Tuseme ukweli tu,Tanzania inasonga mbele Chini ya Chama Tawala

    Ukikaa chini ukatafakari Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka iliyopita, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kuvipuuza. Tunaona barabara zikijengwa, madaraja yanaendelea kujengwa, vituo vya afya vinaongezeka, shule zinaboreshwa, maji yanafikishwa maeneo mbalimbali na umeme unaendelea kusambaa. Hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba maiki huwa zinaweza kuwekwa sumu au dawa zinazoweza kuachiwa kwa remote na kumuathiri mtumiaji jukwaani ?

    haya mambo yapo kweli au ni story za mtaani ?
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu anaweza kuizuia El Niño. Ukweli huu hapa!

    Tumeishasikia wataalamu wa hali ya hewa wakisema El Niño kali yaja. Na wameonya tayari kwamba El Niño ya mwaka 2026 imeimarika na inatarajiwa kuwa na nguvu sana. Hali hiyo inaweza kusababisha mafuriko makubwa na kuharibu makazi, barabara nk. Tunashukuru wenye mamlaka wameishaanza maandalizi ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bob Marley aliimba hivi "Ukweli unaweza kuwa ni kosa la Jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi dhambi"

    "Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin. Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Siku hizi kuna chuki kubwa dhidi ya ukweli katika jamii yetu, watu wa kweli wanachukiwa

    Askofu wa Kanisa la Evangeliki la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amewataka viongozi kuheshimu na kuwajali watu wanaowaongoza badala ya kulewa madaraka. Akizungumza Agosti 31, 2026, katika ibada iliyofanyika Dayosisi ya Mwanga, Askofu Bagonza alisisitiza kuwa...
  13. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

    Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma. Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha Lamarck's theory of evolution, hatumii mfano huu ulio dhahiri, badala yake anaanza kuzungumzia sijui twiga...
  14. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haihitaji lawama za upande mmoja — inahitaji ukweli, uwazi na uwajibikaji wa kila upande

    Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani. Maandamano ni sehemu ya...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Machawa wa CCM VS Machawa wa CDM ..Kwa nini hatuna wasomi wa siasa wenye kuja na ukweli kipindi hiki?

    Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake. Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi wanaojitokeza kutoa lecture muhimu kwa kizazi cha GEN Z badala yake wanaibuka malecturer machawa na...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Unachovuna siyo ulichopanda: Ukweli kuhusu karma ya pamoja

    Kanuni za asili zinafuata sheria ya asili isiyokosea the law that doesn't err" . Hakuna kinachotokea bila sababu chanzi kwa sababu katika asili kila kitu ni sababu na matokeo. Mtu ni zao la sababu na matokeo yake. Siyo lazima ulipwe wema kwa sababu ya matendo yako mema uyatendayo leo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Butiku: Chadema wanafadhiliwa siyo siri

    Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku kupitia podcast ya MS ameeleza kuwa Chadema wanafadhiliwa wala siyo.
  19. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  20. D

    JamiiForums Tanzania Shutuma zisizo na ukweli zawezapelekea usaliti

    Wananzengo mnaendeleaje poleni na haya yanayoendelea. Niende moja kwa moja kwenye mada.Jamani nadhani mnafahamu swala la wivu wa mapenzi lilivyojanga kwa jamii hasa linapokuja swala la kushuku kwamba unasalitiwa huku ukiwa huna uhakika au uthibitisho wa tuhuma hizo.Tusiende mbali kuna jamaa...
Back
Top Bottom