Mambo 10 ambayo tunapaswa kujiambia kama ukweli mchungu kisha kufanyia kazi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
20,398
Reaction score
42,179
1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua.

2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya kipuuzi. Kwa mfano mtu akishinda 10m afyekwe 50% kama kodi na kampuni ya kamari ifyekwe 25%

3. Uchuuzi ndo biashara kubwa zaidi kwa wengi ila haituhakikishii bright future kama nchi. Nchi inahitaji biashara za kutoa huduma kama zile za kina Benji Fernandes (NALA)

4. Sheria ya ndoa na ya ubakaji zina ukakasi sana. Zinahitaji marekebisho. Eti kumuoa binti wa miaka 14 ruksa ila kutembea na binti wa miaka 18 inahesabika ni ubakaji endapo binti ni mwanafunzi.

5. Elimu ya high school(advance) na chuo kikuu (degree) bado zina thamani kubwa kuliko VETA au vyuo vingine. Hakikisha mtoto anapiga six na kwenda University.

6. Elimu haina mbadala. Hata pesa sio mbadala wa elimu.

7. Sheria za kodi na tozo zirekebishwe. Tubakiwe na kodi chache na tozo ila tuongeze walipa kodi wapya wengi. Kuna watu wengi wanaingiza vipato ila hawalipi kodi.

8. Hakuna chama mbadala wa CCM hadi sasa. Cha muhimu wananchi wote bila kujali vyama tuhakikishe CCM inatimiza ahadi za kwenye ilani yake ya uchaguzi.

9. Hata uwe mtakatifu vipi lazima ukutane na misukosuko ya kukera sana kwenye ndoa. Kama unaweza kuishi bila kuoa fanya hivyo.

10. Kama utaratibu wa kuingia usipofanyiwa marekebisho basi itoshe kusema kwamba hakuna atakayeingia mbingni kwa sisi wakristo. Inasemwa kwamba kumwangalia mwanamke na kumtamani ni sawa na kuzini naye. Wafuatao tayari wameniingiza motoni bila kujua; Jokate, Uwoya, Vale, Ange Kariuki, Niffer, Bulaya, Hilda Newton, Benda Rupia.
 
Yote uliyoyasema ni mazuri ,ispokuwa namba 8!
 
Mwishoni kabisa ulitakiwa kumalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi ✊
Kwa maana hicho chama ndiyo chanzo cha hayo yote uliyo yaandika, isipokuwa namba 9 na 10.
 
kwenye kamar na kubeti hapo umepuyanga.

kuna mamilionea hua wanatengenezwa wakutosha tu. Sioni ubaya mtu kuliwa 200k kisha mingine aibuke na 200m mwenye 200k huyu hana faida sana huenda angeihobga tu kisha wa 200m huyu lazima atawekeza.

lakin kuna tunao pigwa 100k tu kwa mwaka sioni kama ni hasara sana maama kuna wanao tumia kwenye pombe zaid ya hizo pesa.

pombe ndiyo haina faida ila kamari iachwe inapinguza na msjambaz mtaan.
 
Acha kutetea ujinga
 
Mwishoni kabisa ulitakiwa kumalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi ✊
Kwa maana hicho chama ndiyo chanzo cha hayo yote uliyo yaandika, isipokuwa namba 9 na 10.
Tate mkuu hulitendei haki jina lako kwa kuandika pumba
 
Namba (4) Sheria ibaki hivyo hivyo ilivyo. Unataka binti asiyepitia formal education mf. jamii za kifugaji avunje ungo akiwa na miaka 12 let say, asiolewe hadi 18 yrs ili agundue nini? Mungu hakukosea kumkomaza mwanamke at that age. Bikira Maria aliposwa na Yusufu akiwa na 12yrs. Mwanamke akivunja ungo means she is ready to be a mother, hayo mengne ni siasa za dunia.

Namba 6. Elimu unayoizungumzia hapa ni ipi ndugu? Elimu ni mtambuka,. In my opinion lengo la elimu ni kurahisisha maisha and not for fame or pride. So even informal education can still be valuable.

8. Una position gani hapo korido za Lumumba ww Chawa?
 
Back
Top Bottom