ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

    Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua 2. Sukari ndio inasababisha kisukari 3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
  4. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Ukweli Wenye Kuuma (Painful Truth)

    Simulizi: UKWELI WENYE KUUMA ( PAINFUL TRUTH ) Mwandishi: NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Msichana Happy alikuwa akilalamikia uchungu ambao ulikuwa umemshika katika kipindi ambacho alikuwa shambani akilima. Damu zikaanza kumtoka katika sehemu zake za siri...
  5. Cicero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    That is the bitter truth. Here is the most recent data from the IMF and extrapolation shows Kenya itazidi kuwa mbele ya Tanzania for the foreseeable future. This is by both GDP nominal and GDP Purchasing Power Parity terms. Can any level-headed person explain this trend. MATAGA and the like...
  6. Lager

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wewe

    Maisha ni kama fumbo,fumbo ni kama kufuri na maarifa ndio ufunguo wa maisha!. Kila ulichopandikizwa kinaweza kukufunga au kukufungua,angalia usijechelewa ukakata tamaa. Si Kila agano unapaswa ulishupalie,mengine yaache yapite! Na ukweli kuhusu wewe ni Siri yako yakupasa uifungue.
  7. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini ila ukweli ndo huu

    Aiseee Leo jua kama limewahi kuchomoza hivi . siyo mbaya mu wazimia wana MMU. Kuna wanaume wanajifanya wagumu sana kwenye mahusiano yao , yaani wao kuyapeleka peleka kibabe mahusiano ndo zao , Mara mchumba atakula kofi bila kosa la msingi, Mara mama mtu anafokewa fokewa tu ukimuuliza anakwambia...
  8. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Mtu Mweusi ataendelea kuwa mtumwa wa Mabeberu, huu ndio ukweli wenyewe

    Habarini za mchana bandugu, natumaini nyote wazima wa afya telee. Nadhani mutakuwa mmeelewa head inavyosomeka. Kwanini, mtu mweusi hususani mtanzania hupenda kuongea kiswahili na kupitishia kiingereza, wakati anaeongeanae ni mtanzania mwenzie ama mswahili mwenzie!! Kwanini Mzungu anaongea...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Watanzania watalipenda sana Bunge lijalo

    Habari WanaJF, Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ndoa za sasa zinaishi kimwili wakati kiroho zilishakufa

    Huu ni ukweli, ukweli utakaowaumiza wengi mliopo na mnaotarajia kuwepo kwenye ndoa. Ndoa za sasa asilimia kubwa zinaishi kimwili tu na kiroho zilishakufa zamani. Mlikubali kuwa mwili mmoja kanisani. Na roho moja iishi kati yenu Lakini sasa mnaishi kimwili tu ,roho kila mmoja kaihamisha kwa MTU...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

    Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku. Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi John Magufuli na serikali yake kwa miaka mitano ilopita na ntaendelea kumuunga mkono kwa yale yote...
  13. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha yanatakiwa yaendelee baada ya uchaguzi, lakini tuambiane tu ukweli!

    Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa...
  14. Choco-late

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

    Wanabodi, Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

    Meseji uliyonitumia mpwa nmeipata.unasema unataka kuja mjini. Mwaka jana ulisema hivyo nikakueleza kuwa subiri kwanza. Naona unasisitiza nikuelekeze home uje mjini. USIJE MJINI. hizo picha unazoniona nmepiga na kurusha kule insta asilimia kubwa siyo maisha ninayoishi. Nielewe tu. Huku kazi...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Ukweli na Ubatili. Wanaojielewa, kujitambua na kutaka maendeleo ya kweli, watachagua ukweli. Wewe upo kundi gani?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours! Declaration of Interest Japo mimi Pascal Mayalla ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ila mimi ni Kada...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye ushawishi Serikalini atamwambia ukweli? Uchumi tumechemka...

    Nawaza Kwa vina na uwelewa wangu katika uchumi kila nikiangalia kesho nasikia machozi na sikia huzuni najuwa ma million ya watanzania wasio na elimu ya uchumi hawajuwi nini kitatukumbuka na kuliacha Taifa na vilio visivyo na sababu. Yes nasema visivyo na sababu maana kulikuwa na shida gani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

    Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli. Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Si kazi ya askari kusema huyu atashinda ama hatashinda, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa askari wetu tukibaini makosa

    Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro. "Tunachunguza...
Back
Top Bottom