uhusiano

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi. Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China inahimiza uhusiano wa biashara ya China na Afrika kuelekea kuwa wa mseto

    Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

    Salaaam!!! Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi?? naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo Manne ya kukusaidia. Kwanini Mungu anataka ulinde ubongo na mfumo wako wa fahamu kabla ya chochote

    Mungu anawasiliana na wewe kupitia ubongo na mfumo wako wa fahamu. Hili ni eneo ambalo ibirisi amelitafiti kwa Muda mrefu na amekuzungushia vitu vingi kushusha uwezo wako wa kusikia sauti ya Mungu. Mit 4:23 SUV Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania ALBERT EINSTEIN: Haya yanatokana au yana uhusiano mkubwa kutokana na theories zake za Special and General Relativity na Photoelectric Effect

    Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! . Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

    Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria. Kwa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

    Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii. Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya akili na maswali?

    Mfano mzuri darasani ukiuliza swali simple kila mtu atakuona kilaza na mjinga ila ukiuliza swali gumu utaonekana mwamba! Kwani kuna uhusiano gani kwenye hivi vitu?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aweka bayana uhusiano wa CHADEMA na siasa za Kenya

    Nairobi, Kenya https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya hapo 2010 - 2012 ODM Raila Odinga Busara za Odinga Detention Siasa za kuumizana N.k
  13. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    Siku chache tu baada ya shambulio la Hamas tarehe 7 Oktoba, Rais wa Marekani Joe Biden alifika Tel Aviv na kueleza mshikamano wa Marekani na Israel. Aliwaita Hamas ni 'mashetani' na kusema Marekani iko pamoja na Israel katika kila hali na itapata kila msaada. Mwanzoni mwa mwezi Novemba, Bunge...
  14. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti na uhusiano uliopo kati ya Yesu, Allah na Yehova.?

    Kuna wanaosema Yesu ni Mungu, na wapo wanaosema Allah ni Mungu. Pia kuna wengine wanaosema kwamba Yehova ni Mungu. Je tunaweza kuwa na miungu watatu na wakawa na nguvu moja? Je nini uhusiano uliopo kati ya watatu haWa? Mimi naona hawa ndio chanzo cha ukosefu wa amani duniani.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

    Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani. Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua...
  17. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo

    Wana jamvi naomba msaada wa kujua kama kuna uhusiano wowote kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo au roho ya kwanini, ni kama watu hawa huesabika kuwa wachoyo na roho ya kwanini je ni kweli, tupate experience zenu.
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya Pesa, Umasikini na kelele

    Mara nyingi mahala ambapo kuna Pesa au watu wamefanikiwa huwa kuna utulivu. Masoko ya matajiri (supermarkets na Malls) huwa ni patulivu kuliko uswahili masoko yetu. Wanapokaa matajiri (masaki, Oysterbay, Kapripoint (mwanza) ) huwa ni patulivu kuliko kwetu uswahilini. Maskini huwa wanakelele...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya msimamo mkali wa kidini na umasikini?

    Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists) Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu. Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi. Wengi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uhusiano wake na Waziri Mchengerwa

    Kama ulikuwa unasikia tu basi leo Rais Samia Suluhu Hassan amethibitisha uhusiano wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mohamed Mchengerwa. Mara kadhaa imekuwa ikizungumzwa kuwa wawili hao ni mtu na mkwewe lakini hakuna kati yao aliyewahi kuzungumzia hilo. Akiwa safarini leo Septemba...
Back
Top Bottom