Uhusiano kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wana jamvi naomba msaada wa kujua kama kuna uhusiano wowote kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo au roho ya kwanini, ni kama watu hawa huesabika kuwa wachoyo na roho ya kwanini je ni kweli, tupate experience zenu.
 
Nenda Gym mkuu upunguze uzito, au kama ni mfupi sana jitahidi uwe unalala mapema ili ukue...

Acha kuwaandama watu wafupi na wembamba.!!!!
 
Sijui lkn nichukue fursa hii kuwapa maua yao mabonge wawe me au ke wanakuaga na roho nzuri sana........hasa wa kike
 
Back
Top Bottom