Tundu Lissu aweka bayana uhusiano wa CHADEMA na siasa za Kenya

Tanzania sio nchi ya copy and paste, Tanzania tuna siasa zetu, tuna demokrasia yetu, ingawaje Tupo kwenye umoja wa nchi za kidemokrasia duniani lakini tujiendeshe kivyetu, as U. K, U. S and others nations.
 
Kwenye mazishi ya Moi Waziri wetu Prof Kabudi aliwafundisha Kenya namna ya Kufanya Siasa bora za Kujitegemea

Dr Ruto alikuwa akimsikiliza sana na kuchukua notes

Ruto Ndiye Rais wa Kenya sasa
 
Back
Top Bottom