uhusiano

  1. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zazindua Mwaka wa Utamaduni na Utalii wakati zikiadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia

    China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali. Hivi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
  3. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kua na mawazo ya kimasikini na kutokuwa na vipaumbele katika maisha au ni elimu ndogo katika jamii?

    Kwema wakuu. Kama mada inavyojieleza, umekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate. Mfano unakuta mwanaume anaoa wakati hajejipanga vizuri (kiuchumu) kimaisha matokeo yake kipato kinachopatikana ni...
  4. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  5. Protector

    JamiiForums Tanzania Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  6. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa umri wako na wewe

    UMRI WAKO NI TABIA YAKO! HIVI NDIVYO ILIVYO, JIFUNZE TABIA 14 KATIKA UMRI TOFAUTI TOFAUTI. Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa. 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani. 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  8. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Uhusiano na mahusiano

    TOFAUTI KATI YA UHUSIANO NA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA CHALINENEE Kuna changamoto kubwa binadamu anaipata nanapojikuta katika uhusiano badala kuwa na mahusiano, kwa tafsiri isiyo rasmi, natumia lugha ya picha kuelezea mazingira ambayo unajikuta unampenda mtu kuliko...
  9. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Uhusiano na Kuchochea Maendeleo kupitia Mpango wa Msingi wa India-Bhutan

    Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi inayostawisha kubadilishana na kushirikiana kwa pande zote mbili. Hatua hii inawakilisha fursa muhimu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kansela wa Ujerumani nchini China yaonyesha juhudi za Ujerumani kurejesha uhusiano wa awali wa na China

    Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

    Kwema Wakuu! Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya. Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu...
  15. Nyaubikra

    JamiiForums Tanzania Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

    Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
  16. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wotote kati ya nyumba unayoishi na kufunguka mambo yako?

    Habari, Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Kristo na Krishna

    HISTORIA YA KRISHNA ILIKUWEPO MIAKA 2900 ILIYOPITA KABLA YA KRISTO Uhindu na Ukristo una mambo mengi yanayofanana Licha ya tofauti zao, uhindu na ukristo una mfanano mkubwa. na hii ni muhimu sana katika suala la maisha na mafundisho ya watu wawili wakuu wa dini hizi za ulimwengu - kristo na...
  18. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

    Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha uchumi wa kati na wazazi wangu si matajiri kama watu wengine walivyo. Ila wananipenda nashukuru...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, kuna uhusiano wowote kati ya urais na udaktari?

    Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu? Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari. Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu...
Back
Top Bottom