Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida.

kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara.

vijana wadogo nao wapo ambao wameanza kuchezea pesa mithiri ya pesa za kuokota.

Je, pana uhusiano?
 
Mi naona bora ili mzunguuko urudi au unataka turudi kwenye njaa mkuu
 
Back
Top Bottom