uhusiano

  1. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu

    Wakuu mmebarikiwa sana sana. Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne. Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  6. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa sasa hawataki uhusiano wa muda mrefu

    Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza, wanatafuta njia ya kupenda na kufanya...
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu

    Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...
  8. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya NASA na Illuminati

    Habarini wanajamvi Katika pitapita zangu humu katika msitu wa maneno na majadiliano, nami ningependa wafikirisha jambo. Wakati wote, tunaangazia safari nyingine ya NASA, nikakutana na andiko la kibepari (kiingereza) kuwa kuna uhusiano kati ya kishetwani, sisi wajuzi kuliko wao tunaita...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku? Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  14. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

    Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu. Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

    Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio Mhujumu wa mstari mwekundu wa uhusiano kati ya China na Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Qin Gang hivi karibuni alisema mtazamo na maoni ya Marekani kuhusu China yamepotoshwa sana, na uhusiano kati ya nchi hizo mbili una hatari ya “kuacha njia”. Kabla ya hapo, rais Xi Jinping wa China naye pia aliitaja Marekani moja kwa moja kwa kuikandamiza China...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  18. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  19. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
Back
Top Bottom