uhusiano

  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Kristo na Krishna

    HISTORIA YA KRISHNA ILIKUWEPO MIAKA 2900 ILIYOPITA KABLA YA KRISTO Uhindu na Ukristo una mambo mengi yanayofanana Licha ya tofauti zao, uhindu na ukristo una mfanano mkubwa. na hii ni muhimu sana katika suala la maisha na mafundisho ya watu wawili wakuu wa dini hizi za ulimwengu - kristo na...
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

    Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha uchumi wa kati na wazazi wangu si matajiri kama watu wengine walivyo. Ila wananipenda nashukuru...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, kuna uhusiano wowote kati ya urais na udaktari?

    Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu? Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari. Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu...
  5. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
  8. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  9. leroy

    JamiiForums Tanzania Unataka uhusiano wako udumu? Soma hapa

    Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti. Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili kufurahia maisha yako. Jambo baya zaidi maishani si kuwa peke yako, bali ni kuishia kuwa na mwenzi...
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa taifa la Israel na kanisa

    Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba. Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo...
  11. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  13. Maleven

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wa ukubwa wa maumbile ya mwanamke na kuzaa kwake au kufanya sana sex

    Based on true story/ based on experience. Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

    Wanaukumbi. Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu. Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika na Amerika ya Kusini yaonyesha uhusiano wa kirafiki wa China na nchi nyingine za Kusini

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiyahudi afanya uchunguzi wa DNA na kugundua hana uhusiano wowote na Israel ya kale

    Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale. Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yasema itaendelea na uhusiano mwema na Israel baada ya vita

    Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na China zikielekea kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia ni vyema kutilia mkazo mawasiliano baina ya watu

    Wakati Tanzania na China zikitarajiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia mwaka 2024, huku zikikubaliana kufanya mwaka huu wa 2024 kuwa wa utalii na utamaduni, nchi hizi mbili kwa sasa zinajivunia kuwa na ushirikiano wa kimkakati, ambao umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya...
Back
Top Bottom