matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists)
Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu.
Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi.
Wengi wanategemea kupigwa tafu na kundi kubwa la watu ambao mambo ya imani hawayachukulii kama vita. Watu wenye msimamo wa kati. Na ndio watu ambao wanaomekana wako vizuri kipesa.
Unadhani ni kwa nini inakuwa hivi?
Nini chanzo.