ALBERT EINSTEIN: Haya yanatokana au yana uhusiano mkubwa kutokana na theories zake za Special and General Relativity na Photoelectric Effect

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,405
74,024
Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! .
Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical practicals)tu!

Ugunduzi wa yafuatayo yanatokana na theories zake za Special and General Relativity, photoelectric effect
  1. Nuclear power, including the atomic bomb
  2. Lasers and all laser technology
  3. Global Positioning Systems (GPS)
  4. Satellites
  5. Spacecraft guidance systems
  6. PET scans
  7. Electron microscopes
  8. Computerized screens on TVs, computers, cell phone and air traffic control systems, etc.
  9. Proof that light travels in waves of minute particles called quanta, and that nothing travels faster than the speed of light (286,282 miles per second).
  10. Proof of the existence of atoms and molecules using the Brownian Effect and the calculation of their size.
  11. The understanding of gravity, and how it was created, which overturned Isaac Newton’s explanation which had stood as truth for over 250 years.
  12. Proof and understanding of black holes and the expanding universe.
  13. His work on the Photoelectric Effect which helped with the research and discovery of quantum physics.
 
Malizia basi...

Alikuwa kichwa sana!
 
Theoretical physics ndivyo iliivyo.
Sio yeye tu wanafizikia wakubwa wanatumia critical thinking and observation.
Kuna theory huwezi fanyia experment. Mfano hio ya gravity kwa sababu hakuna chombo kinasafiri zaidi ya mwanga. Ukifanikiwa kuunda hicho chombo itabidi uunde au ugundue instrument za kupimia na kurikodi.
Ugumu utakuja kwenye muda vitarekodi muda upi.
Nasikiaga huko mambele baadhi ya wazungu wanadai theory TELATIVITY bwana Einstein ali cheat ilikuwa ya mtu mwingine yeye aliwahi tu ku patent. Nikikumbika jina ntaiweka hapa.
Vile vile wazungu wanadai EINSTEIN alifanya kazi kwenye ofisi ya patent registration and records keeping. hivyo basi alitumia jicho la 3 kusoma kazi mbali mbali za wanasayansi na kuunga dots.
Hizi hoja sio zangu ni za mitandaoni. Einstein anabakia kuwa mtu anae aminika na kukubalik ila vile vile exaggeration kuhusu huyo mtu ipo.
 
inawezekana,maama ni ajabu mtu mmoja kuwa na akili za ugunduzi wa mambo mengi namna hiyo.
 
Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! .
Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical practicals)tu!

Ugunduzi wa yafuatayo yanatokana na theories zake za Special and General Relativity, photoelectric effect
  1. Nuclear power, including the atomic bomb
  2. Lasers and all laser technology
  3. Global Positioning Systems (GPS)
  4. Satellites
  5. Spacecraft guidance systems
  6. PET scans
  7. Electron microscopes
  8. Computerized screens on TVs, computers, cell phone and air traffic control systems, etc.
  9. Proof that light travels in waves of minute particles called quanta, and that nothing travels faster than the speed of light (286,282 miles per second).
  10. Proof of the existence of atoms and molecules using the Brownian Effect and the calculation of their size.
  11. The understanding of gravity, and how it was created, which overturned Isaac Newton’s explanation which had stood as truth for over 250 years.
  12. Proof and understanding of black holes and the expanding universe.
  13. His work on the Photoelectric Effect which helped with the research and discovery of quantum physics.
Motions hujazungumzia,projecting za magoli ya mpira wa miguu ni theory zake
 
Inawezekana, maana kuna mpira una mass (ingawa ni kidogo to bend space), unaupiga unakuwa kwenye space, uko under gravity and also time plays part ...spacetime............sijui but siwezi kukubishia
 
inawezekana,maama ni ajabu mtu mmoja kuwa na akili za ugunduzi wa mambo mengi namna hiyo.
Ikifuatilia google kuiweka sawa theory generak relativity theory. Amrtumia hesabu za Lorenzo na hilbert space geometry.
Wanadai hio theory walIkuwa watu 3 wanapigania kuwahi kuitangaza. Ila Einstein aliwapiga ngwdla.
Kwa hio anabakia kuwa gwiji baba la mababa father of modern sayansi.
The geneus of melenium.
 
Back
Top Bottom