uhusiano

  1. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tunamsahau consular kwenye uhusiano wa kimataifa

    Na Elius Ndabila. 0768239284 Taifa lolote duniani ili liweze kuendelea na wananchi wake kunufaika na maendeleo ya nchi yao inategemea sana uhusiano wa kimataifa. Uhusiano wa Kimataifa unasimamiwa na sheria za kimataifa ambazo nchi mbali mbali duniani zilitia saini. Lakini nchi hailazimishwi...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi ya mwanamke na joto la mwili?

    Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote, weusi na weupe. Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini? Kusema kweli, imenitokea Mara zote nilipokula tunda la mwanamke mweusi/black Sana nakuta wana papuchi za Moto Sana,kuzidi wanawake weupe...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaonya kuhusu kusitisha uhusiano wake na Sudan Kusini

    JUBA, Sudan Kusini SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani. Tamko hilo limekuja baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Kiongozi wa upinzani Dkt. Riek...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kijinga umewahi kukifanya kwenye uhusiano?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa upande wangu hakuna ila nilikiona kwa rafiki yangu, alimnunulia mpenzi wake gari ikiwa yeye mwenyewe hana. Uhusiano wao haukudumu baada ya huyo mpenzi wake kumsaliti rafiki yangu vipi kwa upande wako?
  5. F

    JamiiForums Tanzania DC Charles Kabeho ana uhusiano wowote na marehemu Dr Charles Kabeho?

    Halo JF siasa. Mkimbiza mwenge Kitaifa 2018 Engineer Charles Kabeho ambaye sasa ni DC Chato, ana uhusiano wowote na waziri wa zamani wa Elimu, hayati Charles Kabeho?
  6. beth

    JamiiForums Tanzania The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

    Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star! Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa Mdee, who also goes by Vee Money. She’s also an activist and television personality who is currently...
  7. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Uhusiano Kati ya Vyombo vya Habari na Intelijensia

    Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...
  8. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

    Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema. Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi...
Back
Top Bottom