Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali.
"Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) "
Ukitaka...
Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
1.Uhusiano wa single mother na mwanaume aliye zaa nae hauwezi kufa kwa sababu bado anatembea na damu yake.
2.Kipaumbele kikubwa katika mahusiano na single mother ni mwanae cha pili yeye cha tatu ni yeye hivvyo lolote linalofanyika ndani ya mahusiano mtu wake wa kwanza kumwangalia ni mwanae...
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.
Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active...
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya.
Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya.
Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye.
Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu.
Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja...
Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda.
Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania.
Mradi ambao utazalisha ajira...
Wataalam!
Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana!
Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo?
Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali nikamwambia then sasa naweza mfikisha hata home Oysterbay nakoishi.
Nlimwambia tukutane duka fulani la...
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda...
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
Habari wakuu,
Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia.
Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka.
Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi.
Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
Mambo vipi wakuu
Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu.
Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa.
Kiukweli hili jambo...
Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa.
Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili
Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.
Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.