Kuna uhusiano gani kati ya stress na sex?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.

Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active zaidi hata kile kitu kilichonisababisha niwe stressed nakua na uwezo wa kukitafutia solution kila kitu kikawa sawa.

Hivi kwanini inakua hivi? Je kuna uhusiano kati ya stress na sex?
 
Kisaikolojia..

Unapokuw stressed ,stress hulazimisha Mwili unatoa hormone za cortisol na epinephrine , Ambapo kwa zikizidi husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo.

Stress inapokuw ni chronic mwili huhitaji cortisol hormone kwa wingi ili kujiponya juu ya stress hivyo huanza kutumia sex hormones kwa ajili ya production ya cortisol.

Ambapo hupunguza hamu yako ya kufanya tendo.
 
Sasa kwangu mbona iko tofauti na ulivoeleza au mimi sijaelewa?
 
Unaposex mwili unarelease endorphin hormones and other Good feel hormones .. chemical hizo husababisha mwili na akili kujisikia vizuri baada ya tendo .
Pia mazoezi.
Massage
Plays the same role as having sex in stress relieving.
 
Hv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...

Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
 
Kuna wapumbavu watakuja kupinga kuwa ushirikana hakuna,hawajawakuta tuu
 
Hv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...

Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
Mkuu bwana umenchekesha Sana
 
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.

Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active zaidi hata kile kitu kilichonisababisha niwe stressed nakua na uwezo wa kukitafutia solution kila kitu kikawa sawa.

Hivi kwanini inakua hivi? Je kuna uhusiano kati ya stress na sex?
Sijui kuna uhusiano gani

Hata mie niko hivyo
 
Back
Top Bottom