Mambo usiyoyajua kuhusu single mother's pale unapooa au kuanzisha uhusiano nae

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1.Uhusiano wa single mother na mwanaume aliye zaa nae hauwezi kufa kwa sababu bado anatembea na damu yake.

2.Kipaumbele kikubwa katika mahusiano na single mother ni mwanae cha pili yeye cha tatu ni yeye hivvyo lolote linalofanyika ndani ya mahusiano mtu wake wa kwanza kumwangalia ni mwanae.

3.Katika uchumba single mothers wengi mara nyingi huwa hawapendi ndugu wa mwanaume wajue kama ana mtoto mpka mmeingia kwenye ndoa hivyo hili jambo anataka liwe siri.

4.Mnapokuwa katika uchumba single mother hawapo tiyali kwa sex wala kuzaa nae wewe hadi ndoa au utakapomtolea mahali lakini hapo hapo mzazi mwenzie hawezi kumyima papuchi na hata kuzaa nae tena yupo tiyali.

5.Unapooa single mother ndoa yako ni lazima ipitie wakati mgumu kwa sababu kuna kipindi baba mtoto atahitaji amuone mtoto wake kwa sababu hiyo ni haki yake.

HAYA ENDELEENI KUTAJA CHANGAMOTO ZINGINE.

1619867895982.png
 
point za ukizorudia sana
  • kwamba lazima agawe k nje
  • ndoa haitotulia

mtoa post sijui research unafanya wapi lakin si wote.
nawajua single mums walio tulia sana. na wameolewa.
nawajua micharuko.

inategemea utakae mpata yukoje
Nyumba zinaficha Mengi kwa njee unaweza kuoana kama vile mambo yako sawa ila fatilia kiundani ndo utafahamu
 
Nyumba zinaficha Mengi kwa njee unaweza kuoana kama vile mambo yako sawa ila fatilia kiundani ndo utafahamu
Hamuna alie conduct official research akaja na hiyo conclusion. yes nyumba zinaficha mengi but nani aliwahi kupita kwenye hizo nyumba akauliza? am speaking about tz nzima?

Sio kuwa nawa defend single mums. ila watu wapa mnaandika issues kutokana na personal experience na si overall view ya jamii.
 
point za ukizorudia sana
  • kwamba lazima agawe k nje
  • ndoa haitotulia

mtoa post sijui research unafanya wapi lakin si wote.
nawajua single mums walio tulia sana. na wameolewa.
nawajua micharuko.

inategemea utakae mpata yukoje
Ni miaka ya mwanzo tu. Jua likifika saa 9 makucha unayaona na ikifika saa 12. Utakuwa Mtumwa wa huyo mtoto hususan akiwa wa kiume
 
hamuna alie conduct official research akaja na hiyo conclusion. yes nyumba zinaficha mengi but nani aliwahi kupita kwenye hizo nyumba akauliza? am speaking about tz nzima?

sio kuwa nawa defend single mums. ila watu wapa mnaandika issues kutokana na personal experience na si overall view ya jamii.
Kabla sijakujibu naomba nikuulize je wewe umeoa single mother na kama hujaowa kwanini hujaowa
 
Single mother tena!!?

Ebu tubadilike bas tuwe tunasema SINGLE PARENT maana hizo tabia sio kwa wanawake tu ata wanaume pia tuko nazo ukizaa na mtu kuachana nae kwa 100% huwa ni ngumu lazma tu kuna mda tutakumbushiana sio kwa sababu tunapendana bado ila kwa sababu ya connection iliyopo kat ya ninyi wazaz na mtoto
 
Kabla sijakujibu naomba nikuulize je wewe umeoa single mother na kama hujaowa kwanini hujaowa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nisingependa ku highlight status yangu ya maisha yangu online. hiyo ni private information.
however kwa kukudokeza tu, ingetokea nime fall kwa single mum mwenye quality angekuwa wangu. And i know close friends waliooa single mums. na wanaish in peace.
 
point za ukizorudia sana
  • kwamba lazima agawe k nje
  • ndoa haitotulia

mtoa post sijui research unafanya wapi lakin si wote.
nawajua single mums walio tulia sana. na wameolewa.
nawajua micharuko.

inategemea utakae mpata yukoje
A single mother is a single mother. Labda kama ni mjane. Hata hivyo wapo walotulia ila the General Principal holds
 
Single mother tena!!??

Ebu tubadilike bas tuwe tunasema SINGLE PARENT maana hizo tabia sio kwa wanawake tu ata wanaume pia tuko nazo ukizaa na mtu kuachana nae kwa 100% huwa ni ngumu lazma tu kuna mda tutakumbushiana sio kwa sababu tunapendana bado ila kwa sababu ya connection iliyopo kat ya ninyi wazaz na mtoto
Na hawajiulizi hivi huyu mwanamke nimezaa nae na kumuacha nikaenda kuoa ambaye hana mtoto, huyo alomzalisha aolewe na nani?? Baadhi ya wanaume ni wabinafsi sana sana sana hafikirii mwenzie anajiwazia yeye tuu...tena wanaume wa hivi ndio wa kwanza kusema sioi mimi mwanamke mwenye mtoto kasahau yeye kuna mwanamke kamuacha na mtoto,sijui aolewe na nani...
 
A single mother is a single mother.Labda kama ni mjane.Hata hivyo wapo walotulia ila the General Principal holds
As you said ,single mum ni single mum. and i agree nothing can change that.
but sentence yako ya mwisho " wapo waliotulia" means they exists, so wote si wa wabaya as wanavyo kuwa potrayed in social media sio?
 
Back
Top Bottom