Simon Simalenga achukua fomu ya Ubunge Kawe, Simalenga ambaye ni Afisa Uhusiano wa CLOUDS. Ni Muhitimu wa Stashahada ya Uzamili katika Masuala ya Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia na ana Degree ya Siasa na Maendeleo ya Jamii Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere
Pia soma:
>...
Wanabodi,
Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa.
Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini
Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates.
Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu.
Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari
Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/...
Hapa kutumika namaanisha kuwa kwenye uhusiano kwa sababu fulani ambapo unaona ni kama mtego ambao huwezi kujinasua na unahisi kuna jambo ambalo haliko sawa lakini unaona bora liende na siku zisogee. Hali hii inaweka akili yako kutokuwa sawa na pia unaathirika kisaikolojia. Hizi hapa ni baadhi ya...
Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa mwili afya na nguvu; akaagiza mahitaji yake naye akahudumiwa.
Mbaya zaidi alikuja na dereva wake...
Hivi kuna jambo lolote baya litatokea kama Tanzania tukiamua kuvunja uhusiano na Shirika la fedha Ulimwenguni (IMF), Benki ya Dunia (WB), au nchi ya Marekani? Badala ya mjadala wa kuendelea ama kutokuendelea kuwa na uhusiano na taasisi hizo ama nchi ya Marekani kwa nini kama taifa tusiamue...
Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kusitisha mahusiano na China kutokana na dhima ya taifa hilo katika kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo hadi sasa vimesababisha vifo vya zaidi ya watu 300,000 duniani.
Katika mahojiano yaliyorushwa jana Alhamis Rais Trump amerejea shutuma zake dhidi...
Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 (SARS Cov 2) na vile vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi (HIV) vinafanana katika mifumo vinayoiathiri na pia tabia zake.
1. Virusi vya HIV vina Ribonucleic acid(RNA) halikadhalika virusi vya Corona vina RNA.
2...
Wakuu heshima nyingi ziwafikie
Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full tank), yanadumu muda mrefu kuliko ukiwa unaweka kidogo kidogo (vibaba). Ikoje hii technically...
Jamani bei ya sukari imeanza kupanda sasa kilo ni 3200 huku bei ya unga nayo ikipanda sana hadi 2100 kwa kilo
Sukari ni baada ya serikali kupiga marufuku kuingiza sukari kutoka nje?
Nashindwa kuelewa kwanini bidhaa nyeti kama sukari izuiwe kutoka nje kwa maneno eti wanalinda viwanda vya ndani...
Hivi karibuni kumetokea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ugonjwa wa corona na Teknolojia ya 5G.Miongoni mwa hoja zinazotolewa ni kama zifuatazo:-
1. Kuwa karibu na 5G kuna sababisha corona, ndio maana nchi zilizo athirika zaidi ni zile zilizoanza...
Kuna msemo kwamba mtu anaweza kutenda au kufanya kitu ambacho kitamfanya hadi mtu aliyekufa na kuzikwa kaburini ageuke. Ndivyo nilivyohisi Nyerere akifanya kufuatia kauli ya Kanali Ngemela Lubinga juu ya msimamo wa sasa wa CCM katika suala zima la uchumi wa kidiplomasia.
Akihojiwa na mwandishi...
Wadau kama heading inavyoeleza, mimi kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na single mother kabla sijaoa, ambaye amefankiwa kunizalia mtoto.
Baadae kidogo nikaoa msichana mdogo ambaye ndo mke wangu wa maisha.
Nimekaa natafakari kuwa huyu single maza namwachaje? Je, nimuoe awe mke mdogo?
Nipo...
Kufuatia tukio lililotokea hivi karibuni la Ndugu Paul Makonda (RC wa Dar es Saam) pamoja familia yake kuzuiwa kuingia Marekani limeacha doa la mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani huku kukiwa na maoni tofauti katoka kwa watu; watu fulani wakiipongeza Marekani huku wengine...
Wabunge nchini Burkina Faso wamepitisha kwa kauli moja muswada utakaowezesha raia wa kupewa silaha ili kupambana na makundi yenye ya waasi.
Muswada huo ambao sasa unasubiri kutiwa saini na Rais unalengo la kupunguza mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya al-Qaeda...
Hastings Kamuzu Banda
Joyce Banda
Wiki iliyopita nilijaribu kuwapa historia fupi ya Rais wa kwanza wa Malawi Mh Kamuzu Banda. Leo ninataka niwapitishe kidogo kwenye historia ya Joyce Banda moja ya akina Mama waliowahi kutikisa Afrika na Dunia kwa ujumla na kujizolea umaarufu. Alijipatia...
Kuna jina la kipande cha ardhi cha Africa mashariki kinaitwa "Kenya". Wakati huo huo kiongozi aliyekiletea Uhuru kipande hicho cha ardhi kutoka kwa wakoloni waingereza anaitwa " Kenyatta". Nini maana ya "Kenya" na "Kenyatta", kwa kiswahili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.