uhusiano

  1. Blue Bahari

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya nyimbo na uchungu wa nafsi?

    Habari za mwaka mpya wandugu. Natumai mko poa kabisa. Nina hoja ambayo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, kwamba inatokana na nini? Ni hivi, je umewahi kusikiliza wimbo fulani kisha ukajikuta unaanza kupatwa uchungu wa nafsi? Namaanisha unapousikiliza wimbo fulani unajikuta ni kama unataka...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili tabia zetu kama binadamu

    Maendeleo ya sayansi na tekinolojia yameua mahusiano ya kijamii. Leo hii kila mtu anatembea na simu. Akiwa anasubiri huduma iwe mahakamani au hospitali anaingia Instagram au Facebook. Hakuna muda wa kumsalimia aliyekaa pembeni yako. Miaka ya nyuma ilikua ni kawaida kugonga mlango katika...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hili suala lina uhusiano gani na vifo vya watu

    Kwanza kbs natanguliza salam kwa kila mwanachama mwenzang hapa JF, na pia nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya ujao. Niende sasa kwenye mada kuhusu mambo ambayo nimeyaona na kuyasikia kwa watu mbalimbali, lkn kwa kuokoa muda leo nitazungumzia matukio mawili ambayo nimeyashuhudia kwa macho...
  4. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Relationship between Africa and Europe should be respectful, Paul Kagame

    In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame. President Paul Kagame has emphasized that the relationship between Africa and Europe should base on mutual...
  6. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna uhusiano gani kati ya msimamo wa mzazi na uzao wake?

    Inasemwa mara nyingi kuwa eti ndani ya nyumba kama baba ndiye mwenye kauli basi kuna uwezekano mkubwa wa mke kuzaa watoto wa kiume. Na kama mama ndio mwenye kauli na mamlaka basi hata kizazi yaani wanazaliwa watoto wengi wakike tena waweza ona kalibia wote ni wakike. Je kuna uhuusiano gani hapa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali ya kidini?

    Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote. Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare. Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini? Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  9. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa CHADEMA, Tundu Lissu na Ubelgiji: Kwanini Tundu Lissu alikimbia ubalozi wa Ujerumani?

    UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI? Leo 20:30hrs 14/11/2020 Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu, walizunguka Tanzania nzima wakipiga mbiu kuwa watatumia rasilimali za madini kama dhamana kwa ajili ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani. Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sudan kutangaza uhusiano na Israel, Wananchi wapinga

    Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan. Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
  12. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
  13. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unapogundua unatumika kwenye uhusiano?

    Habari za leo. Awali niliwahi kuandika uzi kuelezea dalili zinazojitokeza ili kujua kama unatumika kwenye uhusiano. Baada ya kukaa na kuangalia uhusiano ulionao, na kuona zile dalili unaweza kujua kuwa ni eneo gani umeathirika zaidi. Yapo mahusiano yanaweza kuathiri akili yako, yako yanaweza...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya jina Omary na umahiri katika kazi ya Ualimu

    Katika shule zote ambazo nimesoma, mwalimu Bora na mahiri kuliko wote his/her name will always be TEACHER OMARY. HER? Kivipi? Her surname is Omary au anatumia jina la mume wake ambae anaitwa OMARY. Akina OMARY huwa ni waalimu wazuri Sana. Is it only me au na wewe umewahi kukutana na...
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mahari na Tendo la Ndoa vina uhusiano gani?!

    Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?! Money Penny: kwanini?! Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa Money Penny: analipizaje sijaelewa Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

    Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara. Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri...
  19. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi kunachangia kwa kiasi kikubwa kutokuwa na Uchaguzi usio Huru na wa Haki?

    Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani. Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda...
Back
Top Bottom