Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,214
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.

Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?

Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
 
Sukuma gang
 
Sukuma gang
Hapana mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tu. Mimi nachokiona hapo tunakwenda kuua bandari ya Dar, Tanga, Kilwa na Bandari ya Mtwala. Zitakwenda kufa hakika. Lazima tujitahidi kutumia akili tuangalie huko mbele tunakokwenda. Mtu hawezi kuinvest fedha zake nyingi alafu utegemee utafaidika kuliko yeye.
 
Tanga, Mtwara zilishajifia. Hapo Kenya Wana Bandari ya Mombasa lakini wanafungua nyingine Lamu (LAPSSET)
 
tunatengeneza simu aina zote pamoja na computer, Tunapatika Kariakooo karibu kabisa na stand ya mwendo kasi GEREZANI 0715 378899
H6acab148b76c4fbcbaf8a78b733076c7A.jpg
 
Hapana mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tu. Mimi nachokiona hapo tunakwenda kuua bandari ya Dar, Tanga, Kilwa na Bandari ya Mtwala. Zitakwenda kufa hakika. Lazima tujitahidi kutumia akili tuangalie huko mbele tunakokwenda. Mtu hawezi kuinvest fedha zake nyingi alafu utegemee utafaidika kuliko yeye.
Si ndo hapo!!!.Sasa Ndugai anataka kutuaminisha Kuwa mradi huo eti ni wa muhimu.
 
Tanga, Mtwara zilishajifia. Happ Kenya Wana Bandari ya Mombasa lakini wanafungua nyingine Lamu (LAPSSET)
Hizo ndizo akili mavi za watz wengi tunazozipigia kelele..lamu na mombasa zipo karibu karibu? Ni sawa na bagamoyo na dar? Hii nchi ina wajinga wengi sana akiwepo wewe hapo..
Ni ngumu kujikwamua haraka, mana hata huyo msomi ni mjinga tu kama muhongo na wenzake..
 
Mzee alikuwa Genius ni suala LA muda tu wataanza tena kutafutana aliyezima taa nani we are here Pumzika kwa amani mwendazake vitakuja kuumana mbele halafu wataanza kukumbuka legacy yako
Kabisaa!!!, Binafsi naanza kukumbuka maneno yake,"Watz mtanikumbuka, mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mema".
 
Hizo ndizo akili mavi za watz wengi tunazozipigia kelele..lamu na mombasa zipo karibu karibu? Ni sawa na bagamoyo na dar? Hii nchi ina wajinga wengi sana akiwepo wewe hapo..
Ni ngumu kujikwamua haraka, mana hata huyo msomi ni mjinga tu kama muhongo na wenzake..
Dunia bila wapuuz Kama nyie hainogi. Pole Mnyonge. Ndio imetoka hiyo, ngoma ntolee,
 
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.

Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?

Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Bandari ya Bagamoyo hapana ila ijengwe bandari ya nchi kavu hapo CHALINZE kubwa kuzidi TPA na TICTS ili mizigo yote inayofika badari ya DSM isafirishwe kwenda huko kwa reli kisha kuanzia hapo usafiri wa magari kwa mahitaji ya kanda za kati, nyanda za juu kusini , magharibi na ziwazisafirishwe kwa nia ya barabara.

Mji wa Bagamoyo uendelezwe kwa mfungamano wa utalii wa mali kale, utumwa na kitovu cha chimbuko la Dar Es Salaam.
 
Mzee alikuwa Genius ni suala LA muda tu wataanza tena kutafutana aliyezima taa nani we are here Pumzika kwa amani mwendazake vitakuja kuumana mbele halafu wataanza kukumbuka legacy yako
Ni swala muda ila,hata hawa wanaopiga kelele na kumponda wataanza kuongea kauli zile zile za Magu.
 
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.

Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?

Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani

ni kumpakaza matope makufuli
 
Back
Top Bottom