tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tukio gani la Kimchezo hutalisahau mwaka 2023? Tupia picha tulione

    Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa. Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo tukio hilo hutalisahau. Tukio linaweza kuwa la Football, Boxing, Tennis, Basketball, nk, we tupia tu...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki. Taarifa ya TAWA...
  3. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

    Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor..... Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭 The red wedding 💔
  4. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Hapa sijapigwa tukio kweli?

    Habarini za asubuhi, Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena. Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha? Hapo...
  5. Half american

    JamiiForums Tanzania Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

    Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata mtoto, mavuno mazuri n.k Kuna matukio tusiyopenda kuyasikia ni mwiba mkali maishani mwetu kwa wakati...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ishara za tukio la Hanang zinaashiria kubomoka kwa bwawa la maji kulikoni

    Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka. Sasa...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kuazimana gari au pikipiki yako, tukio gani limewahi kukukuta ulipoazima chombo chako cha moto?

    Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari. Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Sitasahahu hili tukio nilivyokuwa shule ya sekondari

    Nilisoma shule ya sekondari ya bweni wavulana tu. Wasichana na baadhi ya wavulana day! Karibu na bwalo la chakula kulikuwa na duka la shule! Sasa enzi hizo mimi nilikuwa miongoni mwa vijana masharobaro ambao mbele ya wasichana warembo wa day kuonekana unakula ugali maharagwe ilikuwa ni aibu...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Weka hapa tukio lililokushangaza kwenye derby ya Kariakoo

    Tabuleeeeeeee Binafsi tukio la ajabu nililolishuhudia ni MIKIMBIO YA MGENI RASMI pamoja na maajabu ya OBJECTIVE FOOTBALL Twende kazi.
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Bunge wachunguze tukio la wanajeshi kupiga raia Kawe. Madhara yapo

    Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia. Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali limeacha pigo kubwa kwa familia yake, wanajeshi wenzake na serikali kupoteza asset yake muhimu. Ukweli...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  17. carnage21

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  18. The only

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mama Wema kwa Whozu na Wema ni la kutengenezwa

    Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini, Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake? Angelien ile video vyema utagundua wajomba na madada za wema wanasura za maigizo og. Mjini kutrend yataka kujitoa akili hawa watu
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikufundisha kuheshimu kila mtu bila kujali hali yao?

    Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k. Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
  20. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo. Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah! Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
Back
Top Bottom