tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukinipora utajiri wangu tutamalizana

    Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano. Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu Mali yangu nitaanza...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Madai ya kuwa Polisi ni waonevu Yasipuuzwe, tukio la Hamza lituunganishe zaidi kuliko kutugawa

    Kumekucha!! Tukio la Hamza ni tukio Baya la kikatili na linalohuzunisha, nimezipitia clip kadha wa kadha za tukio hilo Kwa kweli zinaumiza, zinasononesha na zinatisha mno. Sitaki Kueleza jinsi saikolojia ya Hamza na Wale Askari namna walivyokuwa wanakabiliana huku kila mmoja ikifikia hatua ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kuanza kuhusisha siasa kumtengenezea Muuaji kadi ya Chadema ama kuonyesha UCCM wake ni ushamba

    BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  5. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

    1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana. 2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi. 3. Clip zinaonyesha...
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuache unafiki

    Bila kupepesa macho wala kutikisa kichwa Wabongo tumejariwa unafiki tena wa Hali ya juu. Hii ni juu ya tukio lililo tokea leo maeneo ya Upanga huko Dar es Salaam. Ukiangalia comment za wadau juu ya tukio hilo wanaliingiza kwenye mambo mawili tofauti. Mosi ikiwa ni siasa na pili ikiwa ni...
Back
Top Bottom