Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
5,689
8,928
Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor.....

Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭
images (31).jpeg

The red wedding 💔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom