Hapa sijapigwa tukio kweli?

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Mar 31, 2023
2,077
4,673
Habarini za asubuhi,

Jana usiku nilikuwa nachat WhatsApp na mwenzangu, wakati tunaendelea nikamuga kidogo niende washroom one time mida kama tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakupatikana tena.

Maswali niliyojiuliza kama ishu ni chaji kwanini asingebust simu akanijulisha?

Hapo hapo nikawa na swali jingine, kama ni chaji huwa unajua kuwa hapa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chaji inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.?

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zangu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha simu mida hiyo?

Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yangu
 
Ukishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo

Kwanini usijifariji kwamba ulivyomuaga unaenda washroom akazima data kisha akapitiwa na usingizi?badae saa tisa alivyostuka akawasha data

Halafu uzuri wa uovu hata mtu afiche vipi ipo siku atapatikana...huyo wako kama kuna lolote ipo siku utaliona bila hata kutumia nguvu

Kwa sasa enjoy unachopata kwenye hayo mahusiano
 
wewe ni msichana, au ni mvulana? Unafungua kwenda shule tarehe ngapi?

Ukishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo

Kwanini usijifariji kwamba ulivyomuaga unaenda washroom akazima data kisha akapitiwa na usingizi?badae saa tisa alivyostuka akawasha data

Halafu uzuri wa uovu hata mtu afiche vipi ipo siku atapatikana...huyo wako kama kuna lolote ipo siku utaliona bila hata kutumia nguvu

Kwa sasa enjoy unachopata kwenye hayo mahusiano
Nimekupata dada
 
Habarini za asubuhi,
Jna usiku nilikuwa nachat whsp na mwenzangu, wakat tunaendelea nikamuga kdgo niende washroom onetime mida km tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakuptikana tena. Maswali niliyojiuliza km inshu ni chj kwann asingebust cm akanijulisha, hapohapo ju swal hili nikawa na swal jingine km ni chaj huwa unajua kuwa hpa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chj inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.

Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zngu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha cm mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yngu
Hivi kweli mtu mzima kutusumbua kwa maswala ya hivi........utatoboa kweli kwenye zama hizi?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom