tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

    Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tukio gani uliwahi kufanya ukagundua kweli una stress?

    Me nliwahi kupokea simu badala ya kusema "haloo" me nikasema "hodii" 😂 Lets Go
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
  4. The Republican

    JamiiForums Tanzania Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Mgawanyo wa Tukio langu la Ijumaa

    Makusanyo ni Shilingi Trilioni 3 za Kibongo Mgawanyo Trilioni 1 nimempa Maza Trilioni 1 nimewapa Waganga wangu Msumbiji, Congo DR na Chunya Kwetu Milioni 500 nimewapa Wateule wa Mji, Wilaya na Ulinzi Milioni 500 nimebaki nazo Mwenyewe kama Faida yangu Na tarehe 31 Desemba 2024 nakuja na Tukio...
  7. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wimbo ulikuwa unaupenda sana lakini kulingana na tukio fulani maisha mwako ukatokea kuuchukua wimbo?

    Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa. Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za kizazi kipya au hata cha zamani unatokea kuupenda sana wimbo huo na pengine wimbo huo...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

    Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume anayepigwa tukio anakuja kulia lia humu. Huu uchuro!

    Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6. Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba. Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni...
  11. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Tukio gani alilowahi kukupiga mpenzi wako ambayo hutoisahau?

    Mimi stori iko hivi, Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo mahala fulani( si unajua hela za tempo) so, ikabidi niwe natumia muda mwingi kutembea wakati wa kurudi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye biashara wahalifu hawapo mbali, uliwahi kupigwa tukio gani hutasahau?

    Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho. Nakumbuka kuna kipindi kulijengwa frem mpya mahala, nikaona ile sehemu kwa jinsi ilivyochanganya nichukue frem, niliweka...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ikimuonesha mwanaume akiwa mtupu akikimbia baada ya kukutwa na mke wa mtu

    Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia. Je, ni kweli mtu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mtaje memba ambaye bila kificho unaona leo anafurahia sana tukio lililotokea huko Iran na hukumtegemea

    Naanza na LOTH HEMA
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro jana alipewa Nishani ile ya Heshima Jeshi la Polisi kwakuwa anastahili au kwakuwa Tukio lilianyika tu Mkoa wake wa Dar es Salaam?

    Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
  16. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
  17. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Hili tukio lilinichekesha sana japo mwamba aliaibika mno

    Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo jamaa anaitwa Lenard. Jamaa alikuwa mchapa kazi sana lakini alikuwa mlevi pia tena mlevi mzuri tu wa...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Bitcoin Halving ni Tukio la Kawaida na Si Lazima Lipandishe Bei Siku Hiyo

    Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa nusu. Hii hutokea takriban kila miaka minne, na imeundwa kudhibiti idadi kamili ya Bitcoin...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuokolewa na Tukio la Happy Birthday to you?

  20. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuchukua tukio la zamani na kulifanya lionekane la sasa

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuleta tukio la lililotokea zamani na kulitangaza au kuliunda ili lionekane kama limetokea leo. Wapotoshaji huweza kutumia mbinu hii kwa namna mbalimbali. Katika mjadala huu tutagusia mbinu tatu zifuatazo: Kubadilisha Tarehe au Muktadha: Mtu anaweza...
Back
Top Bottom