tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
  2. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mishindo inayovurugika kileleni, weka hapa kisa chako cha tukio lililokuvuruga kituo cha mwisho.

    Kuna muda huwa kuna matukio yanatokea pindi tunapofika ama tunakaribia kileleni, mshindo unavurufika kabisa. Nikianza mimi kuna siku nikiwa nakaribia mshindo ghafla simu ya dem ikaanza kuita kaweka ringtone ya wimbo Solomo Mukubwa ule una mashairi "wanipa tumaini la maisha", kiukweli hata...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Kila sekunde moja inaenda sambamba na tukio fulani mahali fulani

    Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo; Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani Kila...
  4. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Bado nakumbuka hili tukio japo nilikuwa mdogo

    Habari za kutwa wana jamii forum, Poleni na pilika za kusaka mkate wa kila siku, Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Baba na mama walitengana kitambo nikiwa na miaka 2, hivyo sisi tumelelewa na mama pekee, Mama alikuwa akijishughulisha na kazi mbalimbali kama vile kufanya vibarua kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

    Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali. Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  8. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania Mihemko imeamua tukio

    Kuwa kiongozi ni dhima na ni jambo ambalo linakuongezea mzigo wa kufikiri ziada ya wanavyofikiri watu wako unaowaongoza, kwa sababu kumbuka unawaongoza watu tofauti, waliozaliwa na kulelewa mazingira tofauti lakini pia wana itikadi tofauti. Mnamo Tarehe 24/06/2023 Ulichezwa mchezo wa marudiano...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  11. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  12. Siku Hazifanani

    JamiiForums Tanzania Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  13. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Je, huyu mtabiri alikuwa sahihi kuhusu Putin na tukio la Julai?

    Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa Tukio hili

    Hawa ambao nimewazungushia Duara three weeks ago tulikuwa wote Amsterdam. Before that tulikuwa London na Paris. Leo naambiwa kuna asilimia kubwa watakuwa wamefariki. Ilikuwa niwepo katika hii tour basi tu ratiba ziliingiliana sababu jamaa walitaka angalau black man mmoja awepo. Shida tu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

    Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua. Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
  16. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na tukio hil: Uchumba kutaka kuvunjika, ilikuwaje na mliokoaje ili usivunjike?

    Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 5. Binti mmoja karibu na home alichumbiwa na kijana mmoja aliyekuwa mpenziwe kwa miaka 2 hivi. Baada ya kulipa mahari taratibu za ndoa zikaanza, sasa siku moja walikuwa maeneo ya makumbusho walikuwa wanafanya shopping ya mahitaji yao nafikili ilikuwa kwa ajili ya...
  17. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kwenye soka huwezi kulisahau?

    Ni mchezo wa Fainali ya kombe la dunia, takribani watu bilioni 1 duniani wanafatilia mtanange huo. Dakika ya 3 ya nyongeza ndani ya dakika 120, ubao ukiwa unasomeka 3-3 kwa Ufaransa na Argentina. Ndani ya dakika 3 za nyongeza, zikiwa zimebaki sekunde 16 mtanange uishe ili waende penati, huku...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Watalaamu, hii kabla au baada ya tukio?!

    Ukisema ni kabla uwe na sababu Ukisema baada uwe na sababu
  20. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Great thinkers, Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Back
Top Bottom