Tukio la Mama Wema kwa Whozu na Wema ni la kutengenezwa

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,435
13,420
Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini,

Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake?

Angelien ile video vyema utagundua wajomba na madada za wema wanasura za maigizo og.

Mjini kutrend yataka kujitoa akili hawa watu
 
Ule ni upuuzi mtupu, mtoto wake ameishakuwa, lishangazi, 40yrs, sasa mama yake si mbibi kabisa, mbibi kama Yule, kuingilia maisha ya, MTU mzima mwenye 40+yrs, ni ukichaa, huyu mama may be bado anahitaji bakora! Itakuwa alikuwa mjane mapema sana
Inashangaza kwa kweli. Wema kwa umri wake hata akikutwa anatwezwa na uume hadharani siyo sahihi wazazi kumkaripia. Wema ni ajuza.

Kama angebahatika kupata mtoto mara tu baada ya kupata taji la umiss hivi sasa huyo.mtoto angekuwa chuo kikuu.

Mama Wema kapotoka lkn Wema yuko sahihi.
 
Ule ni upuuzi mtupu, mtoto wake ameishakuwa, lishangazi, 40yrs, sasa mama yake si mbibi kabisa, mbibi kama Yule, kuingilia maisha ya, MTU mzima mwenye 40+yrs, ni ukichaa, huyu mama may be bado anahitaji bakora! Itakuwa alikuwa mjane mapema sana
Tusifike huku kudharau mama Za watu utajisikiaje ukikuta Mama yako anatukanwa hivi ?
Tubadilike
 
Mother kaangalia hata hao wanaomzunguka wema kama marafiki zake wote ni hovyo ,imagine walivyovaa pale sijui ndio huo utandawazi yaani hovyo ...Mbona watu wakubwa wamevaa fresh.

Kwa ile kampani wema hawezi kupta mshauri sahihi zaidi ya kupotoka .
 
Back
Top Bottom