Tangu gazeti la JAMHURI litoe kinachoitwa Kauli ya Profesa Kabudi kuhusiana na suala la Trilioni 360 kuwa lilishamalizika kuna kila dalili za kuwepo sintofahamu na upotoshaji mkubwa kuhusiana na kauli hiyo.
Watanzania wengi wamepaza sauti kutaka kuletewa uthibitisho wa kauli hiyo ama video au...
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.
Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi...
Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095.
Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.