Alichokisema CAG Kichere kuhusu Tsh. Trilioni 360 za TRAB na TRAT

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh. 357,308,998,541,722 (Sh. trilioni 357.309).

Anabainisha kesi 46 za kodi zenye thamani ya Sh. 724,183,356,570 (Sh. bilioni 724.183) zipo katika Mahakama ya Rufani kwa mwaka 2020 na 2021.

"Katika mwaka wa fedha 2018 hadi 2021, kuna idadi ya kesi 176 zenye thamani ya Sh. 1,176,301,825,259 (Sh. trilioni 1.176) katika Mahakama ya Rufaa ya Mapato ya Kodi (TRAT)

"Kesi 847 zenye thamani ya Sh. 355,408,513,359,893 (Sh. trilioni 355.308) zipo katika Bodi ya Rufani ya Mapato ya Kodi (TRAB) za tangu mwaka 2016 hadi 2021. Mwaka 2017 ilikuwa na kiasi kikubwa cha kodi ya Sh. 349,862,963,907,128 (Sh. trilioni 349.863).

"Katika majadiliano niliyofanya ya tarehe 23 Septemba 2021 na TRAB pamoja na TRAT, nilibaini changamoto katika utaratibu wa kusikiliza kesi," anasema CAG na kuzitaja shida hizo zinajumuisha upungufu bajeti uliokwamisha usikilizaji na kufanya uamuzi kwa kesi hizo kwa muda.

CAG anasema kuna rufani za kesi za kikodi 45 zenye thamani ya Sh. 5,594,675,387,242.4 (Sh. trilioni 5.595) na kesi tisa (9) zenye thamani ya Sh. 56,678,445,387.80 (Sh. bilioni 56.678) zilizopo TRAT na TRAB mtawalia.

Anasema ingawa rufani hizo za kesi za kikosi zilikuwa katika mazungumzo (negotiations) kati ya serikali na walipakodi, mazungumzo hayo yamechukua muda mrefu bila kufikia mwafaka.

"Kutokana na majibu ya TRA, hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2021, hali za kesi katika mahakama za rufani za kikodi zipo kesi 866 zenye thamani ya Sh. 5,190,108,141,768 (Sh. trilioni 5.19) zinazohusisha dola za Marekani 248,397,084 zilizobadilishwa kwa Sh. 2,309.24 kwa dola.

"Miongoni mwa kesi za rufani zilizoisha ni kesi 45 zenye thamani ya Sh. 5,594,675,387,242.40 (Sh. trilioni 5.595) ambazo zipo katika mazungumzo kati ya serikali na

kampuni za madini ambayo ni North Mara Gold Mine, Pangea Minerals Limited, Bulyanhulu Gold Mine na ABG Exploration.

"Kuna kesi Na.189 ya mwaka 2017 inayoihusu Bulyanhulu Gold Mine imepinga uamuzi wa kulipa kiwango pungufu cha Sh. 21,395,712,853,964 (Sh. trilioni 21.396) ili kusajili pingamizi la kodi kwa tathmini ya kodi kutokana na kutokuwa na taarifa za walipakodi (Jeopardy Assessment) kwa mwaka 2000-2017 kati ya jumla ya deni la Sh. trilioni 343.5. Kesi hii imetolewa mahakama za rufani za kikodi na kurejeshwa kusikilizwa na TRA," anafafanua.

CAG anaishauri serikali iharakishe mazungumzo (negotiations) na

walipakodi kwa kesi zilizo katika mazungumzo," CAG Kichere anawasilisha.
 
Hapa hawatapasoma,wako bize kumsifia Tundu Lissu ni shujaa,eti alisemaga akapuuzwa,pathetic
 
Ccm a.k.a wazalendo-wezi wanafaidi sana. Hiyo miburungutu yote ya pesa ndjo imeishia mifukoni mwao jamani.

Kuweni na huruma basi
Wadau hizo mahakama za Trabu na Tratu ziko hapa hapa Kisutu au Sinza kwa wahujumu uchumi?
 
Kodi nyingi zenye kesi hazilipiki sababu ulitumika ubabe badala ya uhalisia kutoa numbers za kudai kodi. Ile dhana kwamba mtu anaweza kufanya jambo lolote pasipo kupata madhara yoyote, tuliangalie upya.
Tunahitaji private sector imara ili tuwe na uchumi imara. Haya mambo ya kufilisi watu kwa kulazimisha kodi zisizokuwepo, ni dhambi na uhalifu. Watanzania wengi watakosa kazi rasmi za kufanya
 
Back
Top Bottom