tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Uwajibikaji katika Maendeleo ya Jamii: Jinsi Wananchi Wanavyoweza Kuchangia na Uchambuzi wa Viwango vya Uwajibikaji katika Sekta Tofauti

    UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii. Ni jambo ambalo linahitajika kwa kila mmoja wetu kuchukua...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hii milioni 20 ya Rais Samia mbona kama imetumika tofauti na maelezo? Tazama hapa

    Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini. Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika. Mjadala huu haufungamani na upande wowote...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msimamo tofauti wa Mbowe na Lissu unaibua maswali

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea na operesheni +255 Katiba Mpya katika Kanda ya Kaskazini, kauli kinzani zimeibuka kati ya viongozi wa juu wa chama hicho Mwenyekiti Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu. Viongozi hao wanaoongoza timu mbili zinazoshiriki...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

    Kuna watu wako standby ku take advantage of your niceness, nilikua naamini watu wanafanya maamuzi in a rational thinking lakini sio 0. Kijana ameoa ila anaona sifa kutembea na wanawake wengine nje, au kijana haoni shida kutembea na wake za watu. 1. Unakaa na kijana wa rika lako anakwambia...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  6. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya muhimu matatu kwa Tanzania ambayo ni lazima kila mtu ayajue na kuyatofautisha kufuatia mageuzi ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Legacy ya Magufuli na Membe hii hapa!

    Ijulikane kwamba Dikteta John Magufuli na Kachero Bernard Membe wote Sasa ni marehemu. Wote walikuwa ni wana-CCM. Wote wamehudumu kama Mawaziri chini ya Dk. Jakaya Kikwete. Wote waliutaka Urais 2015 lakini kwa isiyo bahati kwa Membe hakufanikiwa kuwa Mgombea wa chama chao, CCM. Toka 2015...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Kazi na ajira ni tofauti

    Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu. Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia kwa aina tofauti ya mizinga kwa mkupuo, yote yapigwa chini

    Jameni Afrika lini tutakua na mifumo kama patriot air defence, yaani Urusi imeshambulia Kyiv kwa aina tofauti ya mizinga zikiwemo drones, lakini zote zimepigwa chini....ama kwa kweli haya mambo bana...dah! Sayansi aisei Mamayooo!! Shambulio la leo lingeelekezwa kwenye taifa lolote hapa Afrika...
  10. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kushindwa kufika kileleni ni uzembe wako

    Natapa orgasm kwenye clito, napata kwenye vigina na kwenye g spot. Siri ni tatu tu:- Nikiwa naenda kwenye show najiandaa kisaikolojia kabisa kwamba naenda kupata raha zote, hata kama yeye ni one minute man nahakikisha lazima nifike climax. Foreplay lazima more than 30 minutes, hapo lazima tu...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Watawala na Viongozi: Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?"

    Kwakuzingatia tofauti katiya "Watawala" na "Viongozi". Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?" Karibu kwenye mjadala Nawasilisha. == Pia soma: =
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili tofauti ya maneno ‘Kwenye’ na ‘Katika’ ikoje?

    Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au kuandika Hebu wajuvi wa Lugha hii tupeni wengine darasa tuelewe jinsi ya kuyatumia maneno haya kwa usahihi!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya REVISION na APPEAL katika Labour cases

    Mwenye uelewa na hilo anisaidie. Mara nyingi kwenye Labour casea huwa kuna revision and not appeal. See attached case === Katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania huko Tanga, Maombi ya Kiraia Na. 145/12 ya 2023, James Gideon Kusaga (mwombaji) alitafuta muda wa ziada kutoka kwa uamuzi wa Mahakama...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

    Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023. Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Tofauti yetu na Kenya sisi tumeliwa kichwa

    Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk? Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir Sisi tuko hapa: Bipartisan talks must end...
  16. THE BOILER ROOM

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla; Enzi hizo wakati...
  17. G

    JamiiForums Tanzania TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

    Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Tambua Kuwa Mwanamke Anapenda Umpe Hisia Tofauti Tofauti.

    Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe. Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’. Hata kama unaona itamfanya ajisikie vibaya. Ni heri ajisikie vibaya kuliko kutaka kumfurahisha muda wote/...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausigeli' wengi ni wepesi Kushika Mimba tofauti Wanawake Wengine?

    Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
  20. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid Alhad Omar, Atoa ufafanuzi juu ya utofauti wa kuswali Idd siku Tofauti kwa Waislamu,Huyu anafaa kuwa Mufti..

Back
Top Bottom