Tambua Kuwa Mwanamke Anapenda Umpe Hisia Tofauti Tofauti.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
663
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe.
Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’.
Hata kama unaona itamfanya ajisikie vibaya.
Ni heri ajisikie vibaya kuliko kutaka kumfurahisha muda wote/ asijisikie chochote.

Utamtengenezea mchanganyiko wa hisia. Yani muda mwingine raha, muda mwingine haieleweki muda mwingine atajisikia mpweke/ hapendwi muda mwingine huzuni.
Zote izo ni drama, umpitishe mwanamke huko.

Hasa mkiwa mnaongea.
Maongezi yenu yalete hisia tofauti. Unaweza msifia saivi alafu ukamponda. Au unaweza kumpa stori nzuri kuhusu wewe na ukaonesha ubora wako.
Lakini msiongelee vitu vidogo au mada ngumu, kama siasa, dini, au kuanza kumfundisha maisha (wengi hawaelewi, utachukuliwa kama baba kuliko mpenzi). vitu visivyoleta hisia sana.

Mfano kama unazungumzia tu urembo wa rangi au msuko wake wa nywele, haina hisia kubwa. Au
Usikalie kumfundisha jinsi ya kutumia simu, au kumfundisha maisha ukitegemea ndo atakuelewa. Hivyo ni vya nyongeza tu. Visiwe vitu unavyotegemea vitamfanya awe na hisia kali kwako.

Lakini mkiongea kuhusu mnachopenda kufanya kwenye muda wenu wa ziada itakua na hisia zaidi.

Njia rahisi ya kujua hili ni.
Kama mnafurahi mkiwa pamoja.
Mnafurahi kwa kuchombezana, kuongea unachojisikia, kubadilishana stori nzuri, kucheza pamoja, kwenda sehemu tofauti pamoja, na kufanya mapenzi vizuri.
Usiogope kukisema unachokitaka. Usihofie utamkasirisha. Hapana kama anakukubali atachukulia ni utani tu au atafurahia.

Pia utambue kihisia mwanamke ni mtoto.
Usiwe siriazi ukiwa naye, we jiachie tu.
Kama huelewi ufanye nini kabla hujamsemesha/ hamjafanya kitu jiulize, ‘ivi mtoto mdogo wa kike anaweza furahia hichi ninachosema/ kufanya naye?’

Ukiongea naye mpe nafasi aongee zaidi yako.
Na hata akiuliza kuhusu wewe mpe majibu taratibu. Atapata hisia za kutaka kukujua zaidi na atajiweka kwako zaidi.

Nikutakie Weekend Njema Na Maandalizi Mema Ya Wiki Ijayo.
 
Ngoja sabato iishe ntakuja kusoma vizuri wanachopenda wanawake.
 
Sikupingi Mzee
 
Muda wote huo unaupoteza kwa kumfurahisha mwanamke? WTF ndio sababu sipendi mahusiano ya kudumu, hit & run kuna vitu vingi vya msingi, huo muda wa ziada bora niutumie bar. Ni mtazamo wangu lakini sio sheria
 
Tafuta pesa kijana maisha ni magumu.Hao wanawake Jamii inakazana kutuambia tuwafanyie hivi mara tuwafanyie vile lakini jiulize kwanini jamii haikazani kumwelekeza mwanamke jinsi ya kuishi na mwanaume.Hayo mambo hayana maana mwanamke akikuletea maigizo mpotezee endelea na mambo Yako.

Kama ni huo uwazi uliopo katikati ya miguu yake unakuchanganya mpaka ufanye yote hayo Bora uhit and run au nenda Bar wanawake kibao.
 
Kama alieandika hii mada ni mwanaume bas Sina la kusema 🤔🤔kama ni ME jitahidi kulinda ubingwa
 
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe.
Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’.
Hata kama unaona itamfanya ajisikie vibaya.
Ni heri ajisikie vibaya kuliko kutaka kumfurahisha muda wote/ asijisikie chochote.

Utamtengenezea mchanganyiko wa hisia. Yani muda mwingine raha, muda mwingine haieleweki muda mwingine atajisikia mpweke/ hapendwi muda mwingine huzuni.
Zote izo ni drama, umpitishe mwanamke huko.

Hasa mkiwa mnaongea.
Maongezi yenu yalete hisia tofauti. Unaweza msifia saivi alafu ukamponda. Au unaweza kumpa stori nzuri kuhusu wewe na ukaonesha ubora wako.
Lakini msiongelee vitu vidogo au mada ngumu, kama siasa, dini, au kuanza kumfundisha maisha (wengi hawaelewi, utachukuliwa kama baba kuliko mpenzi). vitu visivyoleta hisia sana.

Mfano kama unazungumzia tu urembo wa rangi au msuko wake wa nywele, haina hisia kubwa. Au
Usikalie kumfundisha jinsi ya kutumia simu, au kumfundisha maisha ukitegemea ndo atakuelewa. Hivyo ni vya nyongeza tu. Visiwe vitu unavyotegemea vitamfanya awe na hisia kali kwako.

Lakini mkiongea kuhusu mnachopenda kufanya kwenye muda wenu wa ziada itakua na hisia zaidi.

Njia rahisi ya kujua hili ni.
Kama mnafurahi mkiwa pamoja.
Mnafurahi kwa kuchombezana, kuongea unachojisikia, kubadilishana stori nzuri, kucheza pamoja, kwenda sehemu tofauti pamoja, na kufanya mapenzi vizuri.
Usiogope kukisema unachokitaka. Usihofie utamkasirisha. Hapana kama anakukubali atachukulia ni utani tu au atafurahia.

Pia utambue kihisia mwanamke ni mtoto.
Usiwe siriazi ukiwa naye, we jiachie tu.
Kama huelewi ufanye nini kabla hujamsemesha/ hamjafanya kitu jiulize, ‘ivi mtoto mdogo wa kike anaweza furahia hichi ninachosema/ kufanya naye?’

Ukiongea naye mpe nafasi aongee zaidi yako.
Na hata akiuliza kuhusu wewe mpe majibu taratibu. Atapata hisia za kutaka kukujua zaidi na atajiweka kwako zaidi.

Nikutakie Weekend Njema Na Maandalizi Mema Ya Wiki Ijayo.
Kwani kitabu cha jinsi ya kumfanya mwanamke awe na furaha toleo la tatu kimetoka mkuu? Nilisoma toleo la kwanza na la pili naona yaliyomo haya work out kabisa. Kama kimetoka nishtie mkuu maana nyuzi zako ni kuwafanya hawa viumbe wawe na furaha tu, huchoki?
 
Back
Top Bottom