Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.
Mambo mengi na vitu vingi malimbali ambavyo tumekua tukivifanya binadamu na kutaka kuvifanikisha , mara nyingi huwa na mwanzo mgumu na wa kitofauti. Hii ni kutokana na matarajio makubwa sana ambayo huwa tunayawaza na kuyatengenezea picha kwenye ufahamu wetu, na kutamani kuona yakitokea mara tu...
Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha.
Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao, wengi tumemjua baada ya samatta kucheza pale villa park.
Grealish amevunja rekodi kwa wachezaji wa...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.
Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.
Una...
Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake
Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao.
Tumekuwa tukifuatilia...
Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba.
"Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani".
Ndugu zangu,
Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo.
Gross Domestic...
THAMANI YA UPEKEE
Jiwe alifanya mara zote kitu cha kipekee hakuwa na hali ile ya kupenda kufanya jambo ambalo wengi walijaribu kufanya au kufanikiwa. Watu wengi upenda kufata njia ya wengi ila sio kwa Jiwe alikua wakipekee sana, tokea wakati alipokua akisikia juu ya njia ile wapitao wengi...
Katika maendeleo ya jamii elimu ni nguzo muhimu sana, thamani ya elimu ni kubwa mno kiasi kwamba mtu hawezi akajua thamani ya elimu papo hapo.
Waliofanikiwa na wakapata mafanikio kama ajira wanajivunia thamani ya elimu na wale baadhi ambao bado wanahangaika mitaani baadhi yao hao hawaoni...
Dau liongezeke basi maana Club imekua mara 3 ya pale ilipokua, na pia hio bilioni 20 kwa sasa si kitu, soka la Tz limekua saizi, si mnaona hata azam tu saizi wanatoa pesa kubwa mno kwajili ya haki ya matangazo tu kwa miaka kumi.
Haiwekani Mo achukue kirahisi rahisi klab yetu yeye na familia...
Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya Serikali mgodi wa Mirerani.
Pia ameomba kuongezwa chumba kimoja kwa ajili ya ugaguzi wa wanawake...
Nianze na hadithi fupi itakayoambatana na swali mwishoni mwake
“Robin ni farasi wa thamani sana aliyeshinda mashindano mbalimbali ya kidunia na amekuwa akipata medali kadhaa na pia anasifika kuwa na umbo bora kabisa la kiushindani ambalo limekuwa likimsaidia kushinda mbio mbalimbali za farasi ...
Niliwahi kusoma sehemu kwamba lulu ina thamani kubwa sana. Kumbe lulu hutokea kwenye vina vikubwa huko vya maji na mpaka zitengenezwe ni process kubwa. Na ndio maana wanaozitafuta hustruggle sana kuzipata.
Sasa binti, kichuna wewe ni mrembo na wa thamani sana. Kama kuna anguko umeshapitia...
Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani.
Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina...
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe.
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za...
Habari gani Wakuu
Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!
Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa...
Boresha huduma kwa wateja kwa kuongeza kasi ya kutoa huduma, kuchangamkia wateja, kuthamini muda na kutengeneza mazingira rafiki na mteja wako.
Toa bidhaa au huduma yenye ubora na inayoendana na thamani ya pesa, watu huwa tayari kutoa pesa zao kwenye vitu wanavyovithamini.
Boresha mazingira ya...
Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.
Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo.
Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo...
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.
Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.
Nawakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.