Je, ni kweli Jack Grealish ana thamani ya Paundi milioni 100?

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
480
571
Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha.

Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao, wengi tumemjua baada ya samatta kucheza pale villa park.

Grealish amevunja rekodi kwa wachezaji wa kiingereza kwa kuuzwa bei ghali.
ni paundi milion 100 haijawahi kutokea.

Grealish yumo kwny kikosi cha timu ya taifa ya england akiwa anatokea benchi.

Kwa mantiki hii, je kweli grealish ni zaidi ya Jardon Sancho ambaye kaja united kwa pauni 76.5 kutoka dortmund?

Nina hakika kwasasa nje ya kane, hayupo england mchezaji mwenye thamani hyo.

Mwenzake samatta yeye kajiendea zake fenerbache kwa pauni 5.4 milioni tu.
what a gap!

Binafs mie namwona huyu dogo kama anakuzwa kuliko reality nyie vipi?

Je, ni kweli ana thaman hiyo.
 
Grealish hana takwimu nzuri ila uwanjan anatishaa..

Lukaku anatakwimu nzuri ila uwanjan ni zero kabisa ..

Grealish >lukaku
 
Grealish hana takwimu nzuri ila uwanjan anatishaa..

Lukaku anatakwimu nzuri ila uwanjan ni zero kabisa ..

Grealish >lukaku
grealish kwny squad ya taifa hana nafasi kwny first 11.

Hata saka tu anampga benchi.
Ila saka najua hawezi kupewa thamani kama huyu wakati wa mauzo kwasab ya asili yake.
 
Sio wa thamani hiyo kwa sababu kuna wachezaji wengi wnaweza kucheza kama yeye mfano benardo silva
 
Mpira ni career ya mda mfupi sana, naambiwa Giroud na erik lamera wametupiwa virago..
wamekwenda bure.
Ac milan & Se
villa
 
Thamani yake ni nusu ya hiyo, tatizo wachezaji wa kiingereza wana thamani mara mbili zaidi kwasababu ya sheria ya wachezaji wazawa. Kila timu inatakiwa iwe na minimum ya wachezaji 8 wa kizawa katika kikosi cha kwanza cha watu 25.
 
kwa wachezaji wa kiingereza Jack ndo mchezaji nnaemkubali zaidi na jamaa anajua sana akiwa na mpira kuuchukua kwake ni shughuli pevu kitu ambacho waingereza wengi hawana,swala lachezaji kulaa benchi hilo ni pendekezo la kocha kuchagua aina ya wachezaji kulingana na mfumo wake hata Sancho alikaa benchi japo ana takwimu nzuri kuzidi walioanza.
 
Bora hata Grealish alisaidia villa kubaki kwenye ligi na kuendelea kupiga mabao msimu uliofuata,yule Pogba hata milionimbiliTZSH Man U walipigwa.
 
Vyombo vya habari vya uingereza vina tabia ya kuwakuza mno wachezaji wazawa hivyo hata thamani yao inapandishwa e.g michael owen, david Beckham, paul ince, paul gasgoine gaza, wayne Rooney etc
Biashara matangazo, uingereza ndiyo fitina haswaa zinakopikwa, tujiulize kwanini WAO hawashindi vikombe ila ndiyo wanawachezaji ghali balaah??

They overrate kila mtu na kila kitu.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha.

Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao, wengi tumemjua baada ya samatta kucheza pale villa park.

Grealish amevunja rekodi kwa wachezaji wa kiingereza kwa kuuzwa bei ghali.
ni paundi milion 100 haijawahi kutokea.

Grealish yumo kwny kikosi cha timu ya taifa ya england akiwa anatokea benchi.

Kwa mantiki hii, je kweli grealish ni zaidi ya Jardon Sancho ambaye kaja united kwa pauni 76.5 kutoka dortmund?

Nina hakika kwasasa nje ya kane, hayupo england mchezaji mwenye thamani hyo.

Mwenzake samatta yeye kajiendea zake fenerbache kwa pauni 5.4 milioni tu.
what a gap!

Binafs mie namwona huyu dogo kama anakuzwa kuliko reality nyie vipi?

Je, ni kweli ana thaman hiyo.
tatizo guardiola ni msenge
anaamin anaweza kumkuza huyo jama
bei iyo imesababishwa na rangi yke pili muingereza sngekuwa black uyo tena anatokea nigeria angruza 9 million paund
mtu km sane gundogan silva yaya toure walinunuliwa kwa bei chin ya io ila uwanjan mmmmh
nq mwisho niseme tu neymar ameharibu soka toka alipossjiliwa PSG kwa 200 million timu zikaanza kupandisha wachezaji bei
 
Back
Top Bottom