tehama

  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu, Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui. Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu! Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe? Kumbe...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na itaokoa gharama kubwa kwa serikali. Amesema kuwa unakuta mtu anasafiri siku 3 au 4 kwenda kuhudhuria...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yaimarisha mafunzo ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya

    Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya. Bw. Abdi amesema hayo wakati akitembelea kituo cha mafunzo cha Huawei, na kueleza...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Kundo Mathew asisitiza miradi ya TEHAMA iguse Watanzania, agusia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano

    Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amewataka wafanyakazi wa Wizara yake kuielewa miradi ya kitaifa inayotekelezwa na Wizara hiyo na kutafsiri ili kuhakıkisha utekelezaji wa miradi hiyo ya maendeleo yanakuwa na manufaa yanagusa maisha ya Watanzania...
  6. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali kitengo cha TEHAMA: Kwanini mifumo yenu mingi ya online/kimtandao inasumbua sana tatizo ni wataalam au vifaa duni?

    Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo? Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

    Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
  9. Investaa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu jiajili kwa kutumia TEHAMA...

    Habari walimu!! Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Mwaka 2016

    Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha ya Umma Ukaguzi wa CAG ulibaini Mamlaka za Serikali za Mitaa 18 pamoja na baadhi ya Taasisi za Serikali hazina Sera...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

    Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aahidi Chuo Kikubwa cha TEHAMA

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maafisa Tehama na Wakuu wa Vitengo watakiwa kuwa wabunifu

    22 SEPTEMBA 2021 Na Raya Hamad – Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maafisa Tehama na wakuu wa vitengo wametakiwa kuwa wabunifu na kushirikiana katika majukumu yao ya kazi ili kuendana na kasi iliyopo ya ukuwaji wa teknologia ulimwenguni. Mkurugenzi Mipango, sera na utafiti Ofisi ya...
  16. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
  17. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

    Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
  18. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Chuo cha TIA - Wataalam wa TEHAMA mmelala?

    Wakuu, Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa! Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private Attackers might be trying to steal your...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 TEHAMA kwenye kulinda mazingira

    Maana ya baadhi ya maneno Application Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika Android application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android Apple application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya apple Apple store Sehemu ambayo imehifadhiwa mifumo mbalimbali ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya TEHAMA kwenye habari, ni njia mpya ya kueneza habari na sio “propaganda”

    Hivi karibuni tovuti ya Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC iliandika makala moja ya Propaganda yenye kichwa cha habari “Jinsi mtandao feki unavyoeneza propaganda kuhusu China”. Kimsingi makala hiyo inaonesha maoni ya mwandishi wake kuhusu kutofurahia China inavyoeleza yenyewe hali yake...
Back
Top Bottom