NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

fake ID

JF-Expert Member
May 19, 2014
476
898
Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,

Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.

Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!

Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?

Kumbe tayari mna watu wenu?

Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.

Inasikitisha sana.
 
mr Aroon

Member
May 18, 2022
24
15

Mbona mimi ni jobless tu na jina nimeliona kwenye usimamizi wa maudhui
 
ikhlas

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
971
1,119
Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,

Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.

Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!

Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?

Kumbe tayari mna watu wenu?

Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.

Inasikitisha sana.
Sensa ijayo tutakuwa makini in sha Allah, kama ulivyopendekeza
 
kadada wa pili

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
201
106
Pole sana

Kuliona sio shida linaweza kukatwa pia, bado interview kumbuka
Unatakiwa kujua kata yako Inahtaji maafisa maudhui wangapi kabla mtu hajajithibitishia kupat
IMG-20220718-WA0003.jpg
 
Tunkamanin

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
951
865
Binafsi nimesikitika sana. Maeneo nilipo majina ya walioomba usimamizi wa maudhui wote wameliwa vichwa. Walipoteza muda na fedha zao kuomba, wamelipotezea tangazo lao. Tz bado sana.
 
RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
908
1,526
Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,

Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.

Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!

Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?

Kumbe tayari mna watu wenu?

Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.

Inasikitisha sana.
Mwenye majina ya morogoro mjini ayatume basi
 
6 Reactions
Reply
Top Bottom