♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC).
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na kufuata sheria katika maisha ya kila siku. Maudhui ya somo hilo ni katiba ya nchi na sheria zake. Ni...
Tukiwajibika kwenye madini na Tehama, Tanzania itasonga mbele
Abeid Othman
Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiswahili toleo la pili la mwaka 2017, neno uwajibikaji linatokana na kitendo wajibika, ambalo kamusi hiyo imelitafsiri kama tekeleza jambo linalokulazimu kulifanya.
Ni vigumu mtu binafsi...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano.
Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
Teknolojia imezidi kukuwa kwa kasi kubwa sana, lakini ukuaji wake unasababishwa na uvumbuzi unaopelekea utatuzi wa matatizo na majanga yanayotokea katika jamii na ulimwengu kwa ujumla. Mabadiliko makubwa ya teknolojia yameletwa na wataalamu mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti, wamejitahidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa...
Vijana wana uwezo mkubwa sana wa kubuni, nawasifu sana na wanajituma, kazi yetu kubwa ni kuhakikisha kwamba kwanza tunazitambua hizo bunifu zao"
"Natoa rai kwa ambao wana bunifu ambazo zinahusika na TEHAMA watuone, ili tuweze kuwapa ushauri zaidi, watu ambao wana mitaji na wapo tayari kusaidia...
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani.
Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI
Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na Wakuu wa Idara na Divisheni TANROADS Makao Makuu, Mkufunzi wa mafunzo na Naibu Waziri Mambo ya Ndani...
MHE. BAHATI NDINGO AIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA NA SARUJI MADIBIRA SEKONDARI
Mbunge wa Viti Maalum CCM (UWT) Mkoa wa Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo na Mwazilishi wa Bahati Ndingo Foundation & Jamii na Maadili Kampeni mnamo tarehe 22 Aprili, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha...
Haya ni majanga, sina uhakika ila ikibidi mnisahishe ila niliwahi kuona nchi kama Kenya hapo hizo shule zipo, Huko Rwanda wapo next levels wala si wa kucompare nao.
Hivi katika ulimwengu huu ambao tunazidi kujionea jinsi mifumo ya computers inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya uchumi, biashara...
Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa nazungumzia kuelewa kwa lengo la uundaji na ubunifu sio kukariri tu kwajili ya test kisha baada ya hapo vina...
Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha.
Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa
Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Joshua Nassari wamegawa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Msingi Nne, Shule ya Msingi Losimongori...
MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old Shinyanga; Kompyuta Tano na Printer 1 ambavyo vitawasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo darasani...
Serikali ya India inatarajiwa kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na kozi nyingine zinazoendana na mrengo huo.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo Dares Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.