tehama

  1. J

    GE2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

    Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya Mbezi juu kwa tiketi ya CCM. Chanzo: Clouds tv Maendeleo hayana vyama!
  2. Barackachess

    Tuwafundishe watoto wetu kutembelea tovuti hizi ziwasaidie katika elimu

    Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
  3. Ndama dume

    Wajuzi wa TEHAMA njooni hapa mtupe somo

    Habarini za asubuhi wanajamvi wenzangu, imani yangu mko salama na tunaendelea kupambana kila kukicha huku tukiombea JF idumu milele. Naomba kwenda kwenye mada ama ulizo fupi. Kuna rafiki yangu anataka kutengeneza darasa la online na kuna elimu ambayo atakuwa anaitoa japo kwa sasa bado ni siri...
  4. Roving Journalist

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Dk. Akwilapo, afungua programu ya mafunzo ya ICT kwa wakufunzi wa wanafunzi wenye mahitaji maalum

    Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia , dk Leonard Akwilapo leo tarehe 27 January 2020, amefungua programu ya mafunzo ya matumizi ya tehama na vifaa saidizi kwa wakufunzi. Wa vyuo vya ualimu na waalimu wa sekondari wenye mahitaji maalum dar es salaam Wakufunzi hao wapatao 140...
  5. Titicomb

    CDF Mabeyo asilaumiwe: Usalama kupitia njia ya kuficha kitu au usiri sio salama kama inavyo dhaniwa

    Salam wana JF. Leo ningependa tujadili lawama anazopewa CDF General Mabeyo baada ya kuonekana kama ameleeza mengi yaliyo paswa kuwa siri kuhusu ujenzi wa Makao Makuu Ya Jeshi la Wnanchi (JWTZ) kule Dodoma. Katika kutoa maelezo yake ilionekana kama amefichua sehemu za kimkakati ambazo zitakuwa...
  6. beth

    Serikali yazindua kituo cha Tehama Chato

    Serikali imesogeza huduma za mawasiliano kwa wananchi wa Chato kwa kuzindua kituo cha Tehama, Telesenta Chato mkoani Geita baada ya kukamilisha usimikaji miundombinu ya mawasiliano kituoni. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe jana alizindua kituo hicho cha Tehama ambacho...
  7. beth

    Benki ya Dunia yatoa Dola Milioni 75 kutekeleza mradi utaoleta mapinduzi katika elimu ya ufundi

    Serikali ya Tanzania inatekeleza Mradi unaolenga kuleta mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Akizungumzia mradi huo wakati wa akifungua mkutano wa pili wa Mwaka wa wadau wa Mradi huo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Back
Top Bottom