Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye speed na ya bei nafuu mtu anaweza kudhania ni malaika

Sadly Its just anaother day ya nyinyi kupiga blah blah kwenye maukumbi yenye viyoyozi mkitoka hapo mnaingia kwenye magari yenye AC, nyumba zenu zina AC hadi chooni, ila wanuka jasho tunakiona cha moto, NI TOZO KILA KONA NA BADO MMEVAMIA HATA BANDO ZETU ZA USIKU ZA KUDOWNLOAD STUFFS

***SHAME ON YOU malizeni tu hizo blah blah zenu ETI TEHAMA, TEHAMA BONGO? KWIOO

Screen Shot 2021-10-19 at 20.11.21.png
 
mkuu una wivu hukualikwa
UKAPIGA NIGHTS
Nina wivu mkali sana siku nikipata nafasi nitahakikisha wanuka jasho wanauziwa bando gb 1 kwa 20,000 , hizi maiti za nchi hii hazi deserve anything good, nina wivu sana jinsi wenzagu (WAZEE WA MA V -EITE) wanavyoweza kupata huduma muhimu kama internet bila stress, to be honest NINA WIVU NA HASIRA KALI SANA
 
Punguza jazba comrade I know how you feel but tuvumilie tu... Ipo siku chuma kitapata joto
 
Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye speed na ya bei nafuu mtu anaweza kudhania ni malaika

Sadly Its just anaother day ya nyinyi kupiga blah blah kwenye maukumbi yenye viyoyozi mkitoka hapo mnaingia kwenye magari yenye AC, nyumba zenu zina AC hadi chooni, ila wanuka jasho tunakiona cha moto, NI TOZO KILA KONA NA BADO MMEVAMIA HATA BANDO ZETU ZA USIKU ZA KUDOWNLOAD STUFFS

***SHAME ON YOU malizeni tu hizo blah blah zenu ETI TEHAMA, TEHAMAAA BONGOOOOOOO?????? KWIOOOOOO

View attachment 1979920
Unajuwa tz kuna vitu bado hatujajuwa nini tufanye. Nilikuwa kenya 2017 hawana kujiunga, ukiweka salio say 500ksh wewe unapiga tu. Nilikuwa nikitumia 1000kdh per mana nilikuwa nikijiachia sana. Badae mtu mmoja mwenyeji aliniambia, prepaid inaumiza do either of the two.
1. Seek post paid service
2. Have a monthly plan
Tz vitu hivi hatufanyi. Knowing that hii mitandao ya sim kmeona gape ya data ndio maana wamekaza. But if you have post paid contract, believe me you will save.
Try and you will come here for witness my friend. Life has changed, we have to change, no options
 
Daaah mkuu yani sisi tunaotegemea Internet kwenye kusaka tonge kwetu kikweli hawajatutendea haki hata kidogo inaumiza sana, mtu wetu wa kumlilia ndio huyo huyo anatutesa sasa sijui kilio chetu tukipeleke wapi.
 
Punguza jazba comrade I know how you feel but tuvumilie tu... Ipo siku chuma kitapata joto
haman kitu siyo kwa nchii ya maiti zinazotembea, tunatawaliwa na watu wabinafsi sana wana roho mbaya mnoo hata furaha kidogo tuliyonayo wanaitamani
Unajuwa tz kuna vitu bado hatujajuwa nini tufanye. Nilikuwa kenya 2017 hawana kujiunga, ukiweka salio say 500ksh wewe unapiga tu. Nilikuwa nikitumia 1000kdh per mana nilikuwa nikijiachia sana. Badae mtu mmoja mwenyeji aliniambia, prepaid inaumiza do either of the two.
1. Seek post paid service
2. Have a monthly plan
Tz vitu hivi hatufanyi. Knowing that hii mitandao ya sim kmeona gape ya data ndio maana wamekaza. But if you have post paid contract, believe me you will save.
Try and you will come here for witness my friend. Life has changed, we have to change, no options
Mkuu hata night packs wamezivurumisha ni kina nani haop serikalini wana roho mbaya hivyo?
 
Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye speed na ya bei nafuu mtu anaweza kudhania ni malaika

Sadly Its just anaother day ya nyinyi kupiga blah blah kwenye maukumbi yenye viyoyozi mkitoka hapo mnaingia kwenye magari yenye AC, nyumba zenu zina AC hadi chooni, ila wanuka jasho tunakiona cha moto, NI TOZO KILA KONA NA BADO MMEVAMIA HATA BANDO ZETU ZA USIKU ZA KUDOWNLOAD STUFFS

***SHAME ON YOU malizeni tu hizo blah blah zenu ETI TEHAMA, TEHAMAAA BONGOOOOOOO?????? KWIOOOOOO

View attachment 1979920
Pole mkuu.

Naona kwa bando za Internet wamerejesha kimya kimya zile za ndugilile zilizopigiwa kelele sana.

TEHAMA wameitundika kitanzi afu wanabana pua kuwa inastawi!!!
Mi-5 tena!
 
Unafiki tu umewajaa, lengo ni kulipana padiem na maposho kibaooo wakat TEHAMA halisi yenyewe hawaitaki. Mfano PayPal wameizuia mpaka leo yaan hii nchi hii daaH
 
Unaweza ukalia jomba maisha ya bongo tabu... The president is missing
 
Back
Top Bottom