Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 794
- 656
Habari walimu!!
Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu TEHAMA kama mtaalamu wa TEHAMA nimeona kuna fursa ya walimu kujiajiri bila kutegemea serikali na kupunguza changamoto ya maisha kupitia TEHAMA.
Idadi ya kubwa ya watu wanatumia simu janja inaongezeka kwa kasi kila siku na matumizi ya mtandao kwa sasa yameshika kasi sana, kutokana na kasi ya mavumbuzi ya mifumo ya TEHAMA.
JINSI GANI MWALIMU ANAWEZA KUJIAJILI KUPITIA TEHAMA?
Kikubwa zaidi kinachohitajika mwalimu kujiajiri ni kuwa na simu janja/computer/laptop itakayomwezesha mwalimu kuandika NOTES na kupakia kwenye mfumo wa TEHAMA ambao atauza kazi zake uko na kulipwa kila mwezi kutokana na mauzo ya notes za masomo mbalimbali.
Kutokana na changamoto ya AJIRA nimesukumwa kutengeneza mfumo huu wa TEHAMA ambao utasaidia walimu wa sekondari kujiajiri kwa kuuza NOTES online...
Mfumo huu wa TEHAMA utajikita kwa walimu wa sekondari(A-LEVEL) na chuo kikuu, taalumu ambazo husika ni kama zifuatayo:
KWA SEKONDARI:
1. PCM
2. PCB
3. ECA
4. PMC
KWA CHUO KIKUU
1. PHARMACY
2. MEDICINE
3. ACCOUNTING
4. CPA MATERIAL & PAST PAPERS
BAADA YA NOTES, MWALIMU LAZIMA ANGAAE MASWALI 20 AU ZAIDI KUHUSU TOPIC HUSIKA. LENGO NI KURAHISISHA UPATIKANAJI WA NOTES ZA MASOMO HUSIKA NA KUONGEZA UFAULU WA MITIHANI YA MWISHO NA UWELEWA.
MWALIMU UNAANDIKA KWA TOPIC, ILI IWE RAHISI MWANAFUNZI KUSOMA TOPIC HUSIKA AMBAYO MWANAFUNZI ANATAKA KUSOMA, MFANO MWANAFUNZI ANATAKA KUSOMA ORAGNIC CHEMISTRY, AKIINGIA KWENYE MFUMO AKUTE KITABU CHA ORGANIC CHEMISTRY AMBACHO KIMEKUWA SUMMARY KWA NOTES NA MASWALI 20 AU ZAIDI.
NINA FORMAT YAKE KWAIYO NITATOA KWA WALIMU AMBAO WANATAKA KUJIAJIRI KUPITIA TEHAMA.
...........................................................................................................................................................................................................................................................................................................
NINGEOMBA NIKUTANE NA WALIMU WANAISHI DAR ILI NIWEKE KUWAELEZEA VIZURI NAMNA MFUMO UNAVYOFANYA KAZI PAMOJA YA NAMNA AMBAVYO WATAPOKEA MALIPO KILA MWEZI KULINGANA NA MAUZO YA KAZI ZAKE.
**************************************
HILI NDIO WAZO LANGU AMBALO NIMEPENDA KUSHARE NA NYINGI WALIMU AMBAO HAMNA KAZI NA WENYE KAZI AMBAO MTAKUWA MNAFANYA KAMA PART-TIME JOB.
KARIBU KWA MCHANGO, NINI KIFANYIKE, NINI KIONGEZWE N.K