tehama

  1. w0rM

    Ni muda muafaka sasa Tanzania kurejesha Wizara ya TEHAMA

    Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
  2. L

    China yaendelea kuwa mchocheaji mkubwa wa TEHAMA barani Afrika

    Sekta ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano ya habari (TEHAMA) inatajwa kuwa ni mapinduzi ya tano ya viwanda duniani. Wadau wa maendeleo wamekuwa wakitaja sekta hii kuwa ndio msingi na mwelekeo wa siku zijazo duniani, lakini pia kama nchi yoyote itabaki nyuma kwenye sekta hii, uwezekano wa...
  3. DR HAYA LAND

    Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  4. J

    Lubumbashi: Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza leo Oktoba 18, 2022

    Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza Kesho Lubumbashi Na Innocent Mungy, Lubumbashi. Kongamano la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji katika sekta ya TEHAMA linafanyika kuanzia kesho tarehe 18 na 19 Oktoba 2022, jijini Lubumbashi DRC likiwa na kauli mbiu ya “Kukuza Fursa za...
  5. L

    Kampuni ya Huawei kuunganisha watu na kusaidia mamlaka kukabiliana na changamoto kwa Tehama

    Na Gianna Amani Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu. Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
  6. kmbwembwe

    Ile kandarasi ya mfumo wa TEHAMA ya Wahindi Tanesco uende kukoma

    Kuna ile kandarasi ya mfumo wa usimamizi wa uongozi ya wahindi tanesco ingefaa sasa isimamishwe. Januari makamba alipopewa uwaziri moja ya mambo ya ubadhirifu wa fedha za umma ni kuipa kampuni ya kihindi kuweka mfumo wa tehama kusimamia uongozi Tanesco. Kwanza kuna hisia utaratibu haukufuatwa...
  7. Davidy Sabas

    SoC02 Kuwawezesha wanawake kupitia TEHAMA

    Kutatua mapengo ya kijinsia katika TEHAMA ni muhimu kwa mustakabali endelevu "Kuwawezesha wasichana kuchagua taaluma za TEHAMA sio tu nzuri kwa wasichana na familia zao, inaweza kuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika ngazi ya kitaifa." - Brahima Sanou, Mkurugenzi...
  8. Black Butterfly

    Kilimo na TEHAMA yewe masomo ya lazima shuleni

    Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule. Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
  9. Lady Whistledown

    Waziri wa Ardhi aagiza kuondolewa kwa Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza kuondolewa kwa Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa wizara hiyo, Venance Mwolo akisema hatoshi katika majukumu hayo. Waziri Mabula ametoa maelekezo hayo kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Allan...
  10. B

    Zanzibar kuwa kitovu cha huduma za TEHAMA Afrika ya Mashariki

    HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma. Video:source...
  11. Content

    SoC02 TEHAMA ina athari hasi katika Jamii zaidi ya tunavyofikiri. Je, nini kifanyike?

    Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma kupitia internet), kurahisisha mawasiliano katika jamii zetu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa taarifa...
  12. J

    Waziri Nape: Wazazi msiwaache watoto wenu walelewe na mitandao na teknolojia, waleeni ninyi wenyewe taifa linaangamia!

    Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya. Nape ambaye aliongozana na Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Kanisani hapo kwa mchungaji kiongozi Dr Kimaro, amesema...
  13. craade

    SoC02 TEHAMA inabeba ajira

    Najua utakuwa umeingia na kusoma nakala hii sababu ya kichwa cha hii nakala, lakini ukweli ni kuwa ingawa tehama ina leta maendeleo lakini pia katika upana wake inasababisha upotevu wa ajira kwa wananchi, tunajua mashine na mifumo imekuja kurahisisha ufanyaji kazi wa mambo mengi na pia kubadili...
  14. A

    SoC02 Madarasa ya TEHAMA muhimu Shuleni

    Abeid Abubakar Namuuliza mtoto wangu anayesoma darasa la sita katika shule binafsi moja ya mchepuo wa Kiingereza kama wanafundishwa kompyuta. Jibu lake la hapana linaninyong’onyesha. Pengine ningeliamini kama angekuwa anasoma shule katika moja ya shule za umma, ambazo weng tunajua hali zake...
  15. Mirio

    Uhitaji wa makarani, wasimamizi wa maudhui na Tehama ipoje kwa kila kata msaada kwa anaejua tafadhari

    Msaada hapo kwa anaejua kuhusiana na mgawanyo wa hizo nafasi kwa Sasa
  16. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  17. John Gregory

    Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Wakuu habari, Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa. Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko! Ahsanteni
  18. Mlalamikaji daily

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu, Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui. Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu! Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe? Kumbe...
  19. Roving Journalist

    Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
  20. Nyendo

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na itaokoa gharama kubwa kwa serikali. Amesema kuwa unakuta mtu anasafiri siku 3 au 4 kwenda kuhudhuria...
Back
Top Bottom