Chuo cha TIA - Wataalam wa TEHAMA mmelala?

Aug 24, 2021
72
65
Wakuu,

Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa!

Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private
Attackers might be trying to steal your information from tia.ac.tz (for example, passwords, messages, or credit cards)"

Ni aibu sana kwa kweli hasa kwa taasisi kubwa kama hii.

Chuo kizima mnashindwa kununua SSL Certificate ya domain yenu?

Rekebisheni.

TIA.JPG
 
Hayo mambo hata ukienda tovuti ya tra utayakuta.

Hii ni Tanzania.

Kwenye website ya psssf nilikuta namba ya simu ambayo inamilikiwa na mtu wa mtaani ambayo haijui na hajawahi kuiona psssf.

Niliambiwa ofisi za mkoa wa Temeke ziko mahali fulani kwenda pale sioni ofisi kumbe walihama miezi 6 imepita.

Inaonyesha ma IT wao wanacheza magame ya nyoka tu kwenye computer za ofisi
 
Tumia safari browser ndugu,anagalau inaweza fungua japo kidogo bt huko Chrome inazngua Mara mambo ya security na blah blah pia hata huko safari ukifungua pia kuna uslow sana
 
Sipendi kutumia Safari. Ipo weak sana kwenye securities.
 
Hayo mambo hata ukienda tovuti ya tra utayakuta.

Hii ni Tanzania.

Kwenye website ya psssf nilikuta namba ya simu ambayo inamilikiwa na mtu wa mtaani ambayo haijui na hajawahi kuiona psssf.

Niliambiwa ofisi za mkoa wa Temeke ziko mahali fulani kwenda pale sioni ofisi kumbe walihama miezi 6 imepita.

Inaonyesha ma IT wao wanacheza magame ya nyoka tu kwenye computer za ofisi
ATCL nao waliwahi kunitumia text, nikaisave ile namba!
Nikawa kila nikiichungulia WhatsApp naona picha ya mrembo...[itaendelea]
 
Wakuu,

Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa!

Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private
Attackers might be trying to steal your information from tia.ac.tz (for example, passwords, messages, or credit cards)"

Ni aibu sana kwa kweli hasa kwa taasisi kubwa kama hii.

Chuo kizima mnashindwa kununua SSL Certificate ya domain yenu?

Rekebisheni.

View attachment 1907474
Hv umechaguliwa hapo?
 
Chuo cha UDOM kinacho zalisha wataalam wa IT kuanzia mainjinia wa kompyuta mpaka computer scientists website yao ilihakiwa na majina ya wanafunzi pamoja na password zao zikawekwa hapa jf. Yani mtu ulikua unachagua jina unaangalia na password yake bila shida kabisa.
 
Mbona kirahisi hivyo! Wajipange aisee. Kupambana na Hackers inabidi securities za servers zao ziwe kali mno.
 
ATCL nao waliwahi kunitumia text, nikaisave ile namba!
Nikawa kila nikiichungulia WhatsApp naona picha ya mrembo...[itaendelea]
Umenikumbusha Zantel walinitumia namba yao 0773832038 kwamba in case of simu/sms yoyote ya utapeli basi niwajulishe kwa sms kwenye namba hiyo mimi nikaona sio mbaya ngoja niisevu... kucheki naikuta WhatsApp na picha ya kawaida kabisa nilicheka
 
Back
Top Bottom