tehama

  1. TTCL Customer Care

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
  2. C

    SoC01 Bado tunafanya maonesho katika kuwajengea vijana ujuzi wa TEHAMA

    BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
  3. Miss Zomboko

    Tanzania na Rwanda zakubaliana kukuza TEHAMA

    Tanzania na Rwanda zamekubaliana kushirikiana katika kukuza Sekta ya mawasiliano hasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili kuongeza tija katika mchango wa sekta hiyo katika maendeleo ya wananchi baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamebainika Julai 16, 2021 wakati wa ziara ya Waziri wa Habari na...
  4. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

    Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
  5. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  6. B

    Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  7. jitombashisho

    Mfumo wa Tasac nao haupatikani wiki ya pili sasa. Kuna kipi kinaendelea?

    Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo. Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?! Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa. Inakwaza sana!
  8. PendoLyimo

    Waziri wa Mawasiliano, Dkt. Faustine Ndugulile atembelea Maonesho ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
  9. S

    Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  10. J

    Dkt. Ndugulile atoa maelekezo juu ya kuboresha mifumo ya TEHAMA nchini

    DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula kuitisha kikao cha wadau wataalamu wa Mifumo ya TEHAMA...
  11. Thailand

    Mama Samia usisahau masuala ya ueledi katika sayansi ya Tehama kwenye Serikali yako

    Kwanza pongezi kwa kuingoza Tanzania kwa busara. Ombi langu tusaidie wananchi kuhusu Huduma za tehama. Ni aibu kwa taifa hili lenye miaka zaidi ya 50 lakini huduma zetu za Tehema ni very poor, unprofessional. Ukiboresha huduma za tehama, utasaidia wananchi wengi kupata huduma kwa wakati na...
  12. Mapambano Yetu

    Somo la TEHAMA linafundishwa shule za Msingi, kwa nini Sekondari halifundishwi?

    Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
  13. Mtangoo

    AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Habari na Heri ya Mwaka Mpya 2021! Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. Mara ya kwanza na ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2020 ilikuwa ni mwezi Septembe. Tafadhali...
  14. Edsger wybe Dijkstra

    Tehama na biashara

    Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT. Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa. Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila...
  15. Interest

    Mambo yataenda? Tasnia ya Habari na TEHAMA zimepata Mawaziri "Vijana wa Mjini"

    Pengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo. Ngoja niwaeleze... Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri...
  16. D

    Ianzishwe Bodi ya Wahandisi wa TEHAMA

    Kutokana na maendeleo ya TEHAMA nchini na azma ya Serikali kuendeleza teknolojia ya TEHAMA nchini kwa kuwatambua wataalamu wa tehama nashauri kama ilivyo kwa wahasibu ianzishwe Bodi inayosimamia maendeleo ya sekta hii. Rais katika hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la 12 ameonnyesha nia ya...
  17. mathsjery

    IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
  18. Mtangoo

    September AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
  19. dunstech

    Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  20. E

    Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

    Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?). Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? . Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii. Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
Back
Top Bottom