Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo.
Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
Wanabodi,
Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
salute wakuu
nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then makongo. Hata shule ilikuwa lazima nihame shule moja niende nyingine. Hata masomo nilihama toka sayansi...
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa.
Utafiti wangu mdogo unaonesha hata walimu, wapo wengi wana tatizo hili.
Kiambatisho kwenye bango hili ni ushahidi wa...
Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!?
Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena.
Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe.
VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo urais tukutane na Membe
Habarini wana programmers..
Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.
Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI...
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula koni na kuzama chumvini. Hakika uke ni sehemu muhimu sana ya mwanamke inayoweza kuamsha hisia za...
Sikia kwa makini
Dini uliyonayo ni ujinga
Usijivunie dini
Dini ni udanganyifu
Dini ni upotofu
Dini ndio inakuzuia kufanikiwa
Dini ndio imefunga Afrika kuendelea
Dini inatumiwa na wanasiasa kama mwamvuli
Dini ni takataka kama zingine
Aliyoandika biblia ndiye aliyekuja kuipinga
Aliyeandikwa...
Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi.
Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
Tuna tatizo la kusoma na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo...
Habari zenu wakuu,
Naomba mwenye uelewa au mtaalamu wa mambo ya magonjwa ya macho anisaidie hili.
Hapo juzi kati niligundua kuna kauvimbe kadogo ndani ya macho yangu ambacho hakana maumivu yoyote, ila baada ya kuchunguza kwa umakini na kuulizia baadhi ya watu walinambia kuwa huyo ni mtoto wa...
Asaalam Wadau natumaini mmeamka salama.
Naomba msaada ufuatao Mara nyingi Mke wangu anapomnyonyesha Mtoto anakuwa akipaliwa na hapo wala hakamuliwi maziwa zaidi ya kushikiliwaa tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana.
mimi tu nikipaliwa huwa nahangaika...
Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM.
Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti...
Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.