Habari za saiz ,nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kushindwa kucheua pamoja na maumiv makali ya kichwa na mwili kwa ujumla haswa haswa mgongo upande wa kulia na kushoto ,na mara nyingi imekua kama nakabwa baada ya kula chakula ,hospitali niliambiwa ni acid imejaa tumboni na nilipewa omeprozole...