Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF...
Nimeijibu hii katika one of the topics but nimeona tudiscuss.
Kuna changamoto kubwa sasa hivi kupata ajira kwa wanaohitimu vyuoni.
Hata humu tukiona graduates wakitafuta kazi yoyote itakayowafanya waishi.
MImi leo ningependa kupendekeza kuwe na Facilitator/ Agency katika serikali itakayokuwa inatafuta kazi zile temporary ama long term, skilled ama unskilled jobs specific for graduates.
Kuwe na website mfano. www. ajira kwa wahitimu.gov.tz ambayo wahitimu wanaweza ku apply jobs
Hii haimaanishi watu wengine hawawezi waka apply but iwe kama platfom ambayo inajulikana kwa wanafunzi wanaosoma na waliomaliza kuomba ajira.
Nimeona humu wengi mkishauri wahitimu wafanye lolote kuingiza mkono kinywani, na baadhi wanatuma nyuzi za kutafuta kazi yoyote.
What does this show?
Watu wako willing kufanya kazi yoyote bali they dont know where to turn to.
I think website specific for them, reliable na ya serikali itakua massive help.
What do you think guys, Becky kachemka? LOL