Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

marwarwa

Member
May 3, 2016
75
95
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,159
2,000
Ni tatizo la kiufundi, athari zake ni za muda mrefu! Ni korodani ya kushoto ama ya kulia mkuu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom